Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Shost alinipa hii kuwa kufanya biashara na wake wa wachungaji ni bingo, kwanza si wababaishaji pesa yako wa kikuahidi J5 itakuwa tayari huwa ndiyo ukweli.
Shost alinunua vitu on line kutoka Amzon na Alibaba, basi J'pili kama ya leo anakwenda kanisani na mzigo wa pochi na viatu. Si wake wa wachungaji tu hata wale wa mama wa umoja wa wanawake kanisani ni wateja wake wazuri.
Shost anafahamu namba za simu za mama pastor wote kutoka Kurasini mpaka Mbezi.
Vyuma vinakaza. ukipenda.