Wake wa wachungaji hongereni sana ,ila sasa Kwa upande wa pili yaani nazungumzia wachungaji wenyewe au wa kanisa Hawa watu ogopa zaidi ya ukoma, wakati naajiriwa benki fulani kama Afisa mikopo nilitahadharishwa kuhusu watu dini especially wachungaji na wazee wakanisa ,Kwa kipind kile kulikuwa na kesi nyingi sana kuwahusu kwamba wakikopa hawarudishi marejesho ...,2yrs later vuguvugu likawa limeisha baada ya watu kuwa wanawapotezea sasa mara nami nikapata mteja mchungaji wa kanisa fulani tena wakati namfanyia analysis nikamwambia nataka wewe ndo ubadili mtazamo wa watu kuhusu nyinyi maana hamkopesheki sasa akanijibu usijali mwanangu sitakuangusha Kwa sauti zile za kichungaji ...nikampa mzigo arnd 10m yaani rejesho la pili tu zikaanza story.....yaani i mpaka aibu kwahyo kuwa makini watu wa dini siku hizi dini wengi hutumia kama mwamvuli tu