Kufanya biashara ya urembo kwa kununua mzigo kutoka China

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
457
Reaction score
339
Nina kamtaji 20,000,000 je naweza kwenda kufunga mzigo wa urembo China na nikapata faida?
Msaada wenu wazoefu.
 
Sasa sisi tutajuaje kama utapata faida au hasara!!?kwani unateseka![emoji23] [emoji23] (Joke)
Katika biashara zinazolipa sana ni biashara ya comestics na vifaa vya simu!tena mtaji ulionao ni mkubwa sana!yaani hapo piga garagaza huwezi kosa faida ya 10milioni ukiuza jumla na rejareja!
Mkuu katika biashara lenga sana biashara ya jumla kuliko rejareja!
Biashara ya jumla unakuza mtaji kwa haraka sana japo faida sio kubwa lakini unakuwa na mzunguko mkubwa!
N;B,usifuate ule wimbo vyuma vimekaza wakati wao wanaishi kwa shemeji zao
 
Duu wewe mbaya(utani tu)
Nimeupenda ushauri wako pia umenitia moyo sana [emoji1686][emoji1686][emoji1686]
 
Kama hauna uzoefu na biashara ni vizuri ungeanza ata na M 5 kuwajua washindani vizuri wanafanyaje biashara
 
Million 20 nyingi sana mkuu kwa jinsi navyoifahamu ile biashara. Unaweza beba makontena ya hizo cheni na hereni. Just anza na mzigo wa 5m tu baada ya kutoa gharama za nauli na kila kitu.
Ukishasimama na kujua namna nzuri ya ku manage biashara yako then ndio utajazia mtaji!
 
Nina kamtaji 20,000,000 je naweza kwenda kufunga mzigo wa urembo China na nikapata faida?
Msaada wenu wazoefu.

Unapata faida nzurii sana!!
Nipo China na nimepita kwenye cosmetic market Guangzhou vitu ni bei chweee haswaaa!!!
Haswa ukichukua kwa bei ya jumla ndio unakuwa na faida
Huwa ninafunga mizigo ya wateja pitia page yangu Instagram @panda_sourcing kuna bidhaa ulizotaja hapo nimeweka. You can have a look at the prices. Unaweza kupata kwa bei chini kidogo ukichukua pieces nyingiii
 
Million 20 nyingi sana mkuu kwa jinsi navyoifahamu ile biashara. Unaweza beba makontena ya hizo cheni na hereni. Just anza na mzigo wa 5m tu baada ya kutoa gharama za nauli na kila kitu.
Ukishasimama na kujua namna nzuri ya ku manage biashara yako then ndio utajazia mtaji!
Ushauri mzuri sana,je 5M naweza kwenda China na kupata faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapata faida nzurii sana!!
Nipo China na nimepita kwenye cosmetic market Guangzhou vitu ni bei chweee haswaaa!!!
Haswa ukichukua kwa bei ya jumla ndio unakuwa na faida
Huwa ninafunga mizigo ya wateja pitia page yangu Instagram @panda_sourcing kuna bidhaa ulizotaja hapo nimeweka. You can have a look at the prices. Unaweza kupata kwa bei chini kidogo ukichukua pieces nyingiii
Nimeona page yako, bei ni nzuri sana, lakini MOQ yako ni kubwa sana kwa mjasiliamali anayetaka kutimiza ndoto yake kwa mtaji mdogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom