Kufanya biashara ya vinywaji au nafaka Kisesa Mwanza

Joined
Aug 17, 2020
Posts
10
Reaction score
8
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja

Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu.

Asante
 
Kwema wadau nilikua naomba kujua je eneo la kisesa mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja

Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu.

Asante

Kwanza kisesa pako nje ya mji kidogo na hapajachangamka sana lakini kuna makazi mengi hivyo kufanya baadhi ya biashara kustawi kama za ujenzi(matofali na hardware). Biashara ya jumla hutoka popote pale kikubwa ni mtaji uwe thabiti usikose vitu vidogo vidogo.

Hofu yangu ni biashara ya nafaka mkoani bado sina uhakika kama itastawii kwa kisesa labda upeleke mashine za kusaga na kukoboa.
 
Shukran sana umeongea fact sana ubarikiwe
 
uzi wa 2000 leo 2022, mrejesho wa hatua uliyofikia.
 
Back
Top Bottom