Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Haipendezi mwanamme kubeba laptop bag uonekane proffesional kumbe hata pesa ya laptop huna.
 
Haipendezi mwanaume umeoa bado unakaa kwa baba na mama

Hii haifai kabisa, ndo mana biblia inasema mwanaume ataachana na baba na mama yake, wataambatana na mumewe! We unaendelea kuwakumbatia wa nini?
 

Wanawake wanaruhusiwa haya?
 
umerudi huku?
Wakikushika wenyewe, utawatambua!

Hawana ubavu, kwanza mwanaume kavaa suti ya kushona kwa fundi nassoro! Nasema haipendezi mwanaume kutafuna mahindi barabarani.
 
Haipendezi mwanaume kuomba lift kama huna panda daladala. Utaombwa niniliu!
 
Haipendezi mwanaume kila ukiongea sentensi mbili unaweka neno 'you know', 'its like' unajifanya Will Smith! Kwenda!
 
9. Haipendezi mwanaume kuwa na lugha chafu isiyokuwa na staa

10. Haipendezi mwanaume kurudi usiku wa manane kila siku kiasi kwamba watoto wanakusahau

11. Haipendezi mwanaume kukana mimba wakati umegonga kavu...

Yaani hapo tunawakosea huruma watoto. Kweli tubadilike
 

9. Haipendezi mwanaume kutaka kulipiwa bill.

10. Haipendezi mwanaume kutaka kuendesha gari la mwanamke kwa nguvu bila hiari ya mwanamke, kuhamia kwa mwanamke.

11. Haipendezi mwanaume kumpenda mwanamke kwa ajili ya vitu vyake, magari, nyumba na vinginevyo vinavyoendana na hivi.

12. Haipendezi kabisa mwanaume kutoa ahadi za uongo, nitafanya iki, nitafanya kile wakati anajua kabisa hatafanya.

13. Haipendezi mwanaume kutokujua majukumu yake nyumbani kulipia watoto kalo, kugomba gomba kila mara nyumbani, ila nje anajifanya mwema kupita kiasi

Nikikumbuka nitaludi.
 
Naam. .pamoja sana
 
haipendezi kabisa mwanaume kukata viuno kuliko mwanamke wakati wa tendo
 
haipendezi kabisa mwanaume kumuona demu anaandika NITALUDI
 
haipendezi kabisa mwanaume kuambiwa demu wake anaongoza kwa umbeya duniani
 
yani haipendezi kabisa mwanaume kutongozwa na shemeji halafu ukakaa kimya bila kumwambia mkeo
 
Haipendezi mwanaume kusahau shughuli zote unazofanya kisa dem kakwambia mambo yote mkienda lunch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…