Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
dah, haipenedzi kabisa mwanaume unasafiri halafu jamaa anakuja kula ndogo hapohapo nyumbani
Tusiongee tu, sasa kama wewe utazuiaje hyo hali wakati wewe haupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, haipenedzi kabisa mwanaume unasafiri halafu jamaa anakuja kula ndogo hapohapo nyumbani
Hiviii.. Mambo yote tunayoandika humu tunayaishi au ndio tunashabikia "uzi" ili mradi tuonekane tumekoment
Duuh! Kitu full v..u..z kama pori la msitu wa pande! Ha ha ha! Ndo anang'ang'nia sasa! Ila kucha si ndio wale wanasafishwa saluni siku hizi?
Tusiongee tu, sasa kama wewe utazuiaje hyo hali wakati wewe haupo?
wenzako wanaita plasma hiyo.... na tena haipendezi kabisa yani mwanaume una demu flat screen halafu kila saa unaangalia migongo ya wenginehaipendezi mwanamme kupenda makalio makubwa wakati alimuoa mkewe akiwa na pasi utadhani aliangushwa bafuni akiwa mdogo.
Umejuaje?Haipendezi mwanaume kulia kumshinda mwanamke mnapokuwa kunako 6/6. Utakuta jianaume linalia utadhani ndio linafanywa
Duuh! Kitu full v..u..z kama pori la msitu wa pande! Ha ha ha! Ndo anang'ang'nia sasa! Ila kucha si ndio wale wanasafishwa saluni siku hizi?
Huyo sio mwanaume bali ni 'boy'!. Mjinga na hajui kuwin the intelligence of his woman! How could you compare binadamu? Are they glasses of wine? Are they shoes! Fukuza huyo mvuta masigara kwanza ukute hata havai zile mfuko wa mchudhi, linakuchafua then linaanza kuku-compare, jitu nene, mfupi, mbishi, anavaa suruali za fundi nassoro, anakumpare na ex wake ili iweje? Ukute lina mandevu na lina duka ya spea za magari pamoja na vihela vyake linanuka kama fundi gereji. Khaaa!
Mwanaume kuvuta makamasi na kuyameza
Yukkhh! Grrrr mh ahem!