Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Hiviii.. Mambo yote tunayoandika humu tunayaishi au ndio tunashabikia "uzi" ili mradi tuonekane tumekoment
 
yani inauma zaidi mwanaume unapogundua asilimia kubwa ya JF members wa kike ni frustrated na hawajui watakacho from men....:decision:
 
haipendezi mwanamme kupenda makalio makubwa wakati alimuoa mkewe akiwa na pasi utadhani aliangushwa bafuni akiwa mdogo.
wenzako wanaita plasma hiyo.... na tena haipendezi kabisa yani mwanaume una demu flat screen halafu kila saa unaangalia migongo ya wengine
 
haipendezi mwanamme kupenda makalio makubwa wakati alimuoa mkewe akiwa na pasi utadhani aliangushwa bafuni akiwa mdogo.

Duh Kongosho mwisho wa reli kwa kweli. . . .
 
Duuh! Kitu full v..u..z kama pori la msitu wa pande! Ha ha ha! Ndo anang'ang'nia sasa! Ila kucha si ndio wale wanasafishwa saluni siku hizi?

hamna bwana. Raha ya mikono ya mwanaume iwe na kucha fupi mikono smooth. Sasa kwenye game vidole si utamkwaruza mwenzio. Haipendezi. Na hilo situ la Pande linawanyimaga marks sana. Hawajui tu.
 
Huyo sio mwanaume bali ni 'boy'!. Mjinga na hajui kuwin the intelligence of his woman! How could you compare binadamu? Are they glasses of wine? Are they shoes! Fukuza huyo mvuta masigara kwanza ukute hata havai zile mfuko wa mchudhi, linakuchafua then linaanza kuku-compare, jitu nene, mfupi, mbishi, anavaa suruali za fundi nassoro, anakumpare na ex wake ili iweje? Ukute lina mandevu na lina duka ya spea za magari pamoja na vihela vyake linanuka kama fundi gereji. Khaaa!

u made my day. Ila kwa fundi gereji umekosea. Kuna wanaume watanashati na ni mafundi gereji. Uchafu na kunuka ni tabia ya mtu lakini si sehemu anayofanyia kazi.
 
Haipendezi mwanaume umeoa bado unakaa kwa baba na mama
 
Haipendezi mwanamme kuwapotezea akina dada muda kwa kutangaza ndoa while for sure unajua hakuna common ground
 
Back
Top Bottom