BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #21 haipendezi mwanaume kuwa mchafuchafu kunuka kikwapa
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #22 haipendezi kabisa mwanaume kuburutwa n mkeo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #23 haipendezi mwanaume kukojoa hovyo barabarani.....au kutupa taka hovyo barabarani...
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #24 yani ni mbaya sana mwanaume kuhonga malaya
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #25 haipendezi mwanaume kutukana wanawake au kutumia kiungo cha mwanamke kama tusi......
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #26 haipendezi mwanaume kuwachunga na kuwafuata fuata dada zake, wakati yeye anasarandia dada za wenzake na anasahau kila mwenye dada hakosi shemeji....
haipendezi mwanaume kuwachunga na kuwafuata fuata dada zake, wakati yeye anasarandia dada za wenzake na anasahau kila mwenye dada hakosi shemeji....
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #27 haipendezi mwanaume kusarandia housegirl, iwe wako au wa jirani yako haipendezi
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #28 haipendezi mwanaume ukifika bar unaanza kushika matiti na makalio barmaids....
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #29 haipendezi mwanaume kutembea/kutongoza marafiki wa mkeo/gf wako haipendezi....
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #30 haipendezi mwanaume kumpiga magumi mkeo.....mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa na kitenge cha wax maana kanga ina maneno....
haipendezi mwanaume kumpiga magumi mkeo.....mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa na kitenge cha wax maana kanga ina maneno....
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #31 inakera sana mwanaume kumpa cheo demu kwsababu tu anapewa ndogo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #32 haipendezi mwanaume kuongea na simukwa saurti kuuuuuubwa mpaka nyumba ya kumi wanakusikia
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #33 inakera sana dume zima linamuachia mkewe kuwa mmbeya wa mtaa mzima na kubwabwaja kama masanja
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #34 inakera sana kwanaume kuvumilia mwanamke asiyejua kutunza sanitary pads
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #35 haipendezi kabisa kumuona mwanaume anajitolea kwa kila hali kutafuta maisha halafu mkewe anashinda saluni, bar na kugawa kwa watoto
haipendezi kabisa kumuona mwanaume anajitolea kwa kila hali kutafuta maisha halafu mkewe anashinda saluni, bar na kugawa kwa watoto
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #36 haipendezi mwanaume unakula nyama choma bar huku nyumbani kwako wameshindia ugali kwa matembele
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #37 haipendezi kabisa mwanaume kuvumilia upuuzi wa mashoga
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #38 yani haipendezi kabisa kwa mwanaume kuendeshwa na mama mkwe
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 18, 2012 #39 haipendezi mwanaume kushinda vijiweni kupiga umbea na majungu
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Mar 18, 2012 #40 yani inatisha kweli dume linaosha magari wiki nzima huku mama yuko nyuma ya nyumba hata kusaidia kutafuta income hakuna zaidi ya kupigwa kwiki mabandani
yani inatisha kweli dume linaosha magari wiki nzima huku mama yuko nyuma ya nyumba hata kusaidia kutafuta income hakuna zaidi ya kupigwa kwiki mabandani