Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

haipendezi mwanaume kutukana wanawake au kutumia kiungo cha mwanamke kama tusi......
 
haipendezi mwanaume kuwachunga na kuwafuata fuata dada zake, wakati yeye anasarandia dada za wenzake na anasahau kila mwenye dada hakosi shemeji....
 
haipendezi mwanaume kusarandia housegirl, iwe wako au wa jirani yako haipendezi
 
haipendezi mwanaume ukifika bar unaanza kushika matiti na makalio barmaids....
 
haipendezi mwanaume kutembea/kutongoza marafiki wa mkeo/gf wako haipendezi....
 
haipendezi mwanaume kumpiga magumi mkeo.....mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa na kitenge cha wax maana kanga ina maneno....
 
inakera sana mwanaume kumpa cheo demu kwsababu tu anapewa ndogo
 
haipendezi mwanaume kuongea na simukwa saurti kuuuuuubwa mpaka nyumba ya kumi wanakusikia
 
inakera sana dume zima linamuachia mkewe kuwa mmbeya wa mtaa mzima na kubwabwaja kama masanja
 
inakera sana kwanaume kuvumilia mwanamke asiyejua kutunza sanitary pads
 
haipendezi kabisa kumuona mwanaume anajitolea kwa kila hali kutafuta maisha halafu mkewe anashinda saluni, bar na kugawa kwa watoto
 
haipendezi mwanaume unakula nyama choma bar huku nyumbani kwako wameshindia ugali kwa matembele
 
haipendezi kabisa mwanaume kuvumilia upuuzi wa mashoga
 
yani haipendezi kabisa kwa mwanaume kuendeshwa na mama mkwe
 
yani inatisha kweli dume linaosha magari wiki nzima huku mama yuko nyuma ya nyumba hata kusaidia kutafuta income hakuna zaidi ya kupigwa kwiki mabandani
 
Back
Top Bottom