Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

haipendezi mwanaume hela unatapanya kona bar ilhali wazazi wako wanakosa hata hela ya chumvi.......
 
haipendezi kabisa mwanaume anaona kabisa dada zake wanaliwa kila tundu halafu anakaa kimya
 
yani inakera zaidi mwanaume unatafuta pesa kwa shida halamu mama anatapanya kona bar na vibwengo wenzake kwa pombe na kulipia gesti
 
yani inauma sana mwanaume umeoa halafu mkeo anasimulia kwa kidume chake cha nje kila mammbo yenu ya ndani
 
dah, haipenedzi kabisa mwanaume unasafiri halafu jamaa anakuja kula ndogo hapohapo nyumbani
 
haipendezi mwanaume kutembea na vibinti umri sawa na watoto wako wa kuwazaa...
 
inasikitisha mwanaume una demu halafu ananuka mdomo wala husemi
 
haipendezi kuona mwanaume unamke ambaye analalwa na vitoto vidogo kuliko wanae
 
haipendezi mwanaume kutokuwa mbunifu kitandani, mapenzi sio ndani nje nje ndani mwanaume ubunifu....mwanaume ujue jinsi ya kumfikisha mkeo.....

Kwa leo inatosha acha nisave betri tanesco wasgachukua mali zao..... Oooopphhhhsss sorry ya mwisho....

HAIPENDEZI WANAUME KUFANYA KAZI TANESCO

HAIOENDEZI MWANAUME KUWA MUONGO

HAIPENDEZI MWANAUME KUWA TAPELI

HAIPENDEZI MWANAUME KUJIPENDEKEZA KWA BOSS ILI UPATE FAVOUR
 
Haipendezi mwanaume kukopa pesa then unakua msumbufu kulipa au unadhulumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…