Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

haipendez mwanaume kula michemsho, nyamachoma, au kitimoto bar wakat nyumban watoto wanakula bamia kila cku.
 
haipendezi mwanaume kushinda vijiweni kupiga umbea na majungu

Ndo mana nasema baba mwanaasha akikubali mapendekezo ya cameroon tanzania itakuwa balaa! Ukishinda kijiweni nani akupe hela ya kula? Ndo u-cameroon huo
 
n general haipendezi mwanaumje kufanya yasiyofaa na pia mwanamke kufanya yasiyofaa
 
Alafu why can't boys be boys? Kuna hii fashion ambayo wavulana wanavaa sawa sawa na wasichana. Zinawafanya waonekane So gay, na usiombe katia dawa nywele, lege lege na aonaonekana weak. Hata akiwa na galfriend wake kama ni huyo galfriend ni mdogo wako hauna wasi wasi mana taswira inaonesha dogo hawezi kitu!
 
Haipendezi mwanaume kulia kumshinda mwanamke mnapokuwa kunako 6/6. Utakuta jianaume linalia utadhani ndio linafanywa
 
Haipendezi mwanaume kulia kumshinda mwanamke mnapokuwa kunako 6/6. Utakuta jianaume linalia utadhani ndio linafanywa

Duh. . . Haya bwana. Wanaume tunakazi!
 
hivi kuna wanaume ambao wana tabia namba 4? hao ndo hawafai kabisa
 
Alafu why can't boys be boys? Kuna hii fashion ambayo wavulana wanavaa sawa sawa na wasichana. Zinawafanya waonekane So gay, na usiombe katia dawa nywele, lege lege na aonaonekana weak. Hata akiwa na galfriend wake kama ni huyo galfriend ni mdogo wako hauna wasi wasi mana taswira inaonesha dogo hawezi kitu!

Mwanaume wa jinsi hiyo sijui tumwiteje!
 
hivi kuna wanaume ambao wana tabia namba 4? hao ndo hawafai kabisa

Wengi tuu. Usijekuwa unakatisha smwhere kumbe wanajua mpaka sauti unayotoa when at peak!
 
Wanaume wanaokojoa hovyo wangetakiwa kutangazwa news za usiku na kusafisha vyoo vya ubungo kama adhabu for two weeks

kweli kabisa haina haja ya fine, ukiwatangaza hata wengine wenye tabia hii wakiona wataacha
 
kweli kabisa haina haja ya fine, ukiwatangaza hata wengine wenye tabia hii wakiona wataacha

Maana inakera sana kutoa kidudu/lidudu lako(kutegemeana na saizi) na kumwaga maji in public. Bad and inatia aibu
 
Haipendezi jibaba jitu zima linajikunakuna na kushikashika ofisi kuu in public
 
Haipendezi mwanaume kuvikusanya vitoto vyako vidogo bar mnafurahia supu za mikia ya ngombe na vinywaji? Maadili gani?
 
Haipendezi hii thread karibia posts zote kuandikwa na calnde,janja weed,badili tabia na kongosho.
 
Back
Top Bottom