Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Haipendezi hii thread karibia posts zote kuandikwa na calnde,janja weed,badili tabia na kongosho.

Wanaoogopa kuandika inawahusu! Si unafahamu principle ya kurusha jiwe kwenye giza!?
 
haipendez mwanaume kurudi usiku wa sa9 na kupiga makelele ufunguliwe
haipendez mwanaume kuvunja ndoa za watu
haipendez mwanaume kuacha 500 au kutoacha kabisa hela ya matumizi wakati unajua mkeo hana kazi
haipendezi mwanaume kususa kutoa unyumba kwa mkeo
haipendezi mwanaume kusifika kwa tabia ya kujaza mimba na kuzikataa
 
Haipendezi mwanaume kutomwanda vizuri mke wake kabla ya kudu
 
Haipendezi mwanaume kulia kumshinda mwanamke mnapokuwa kunako 6/6. Utakuta jianaume linalia utadhani ndio linafanywa

ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hii funga kazi ya mwaka 2012

sasa analia kwa sauti ya kike au sauti ya ngombe?:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Comments zilizomo humu tena toka kwa wanaume inakufanya mtu utafakari mbona huku uraiani wa hivi hawako? jamani muwe basi mnafanya kweli.
 
haipendezi kabisa mwanaume kujua mkewe analiwa tigo mtaani
 
Haipendezi mwanaume kutomwanda vizuri mke wake kabla ya kudu
tena inasikitisha zaidi kuoa mwanamke anadhani kazi ya tendo ni ya mwanaume tu, namwonea sana huruma mwanaume mwenye mwanamke wa namna hiyo
 
Neno.............

haipendez mwanaume kurudi usiku wa sa9 na kupiga makelele ufunguliwe
haipendez mwanaume kuvunja ndoa za watu
haipendez mwanaume kuacha 500 au kutoacha kabisa hela ya matumizi wakati unajua mkeo hana kazi
haipendezi mwanaume kususa kutoa unyumba kwa mkeo
haipendezi mwanaume kusifika kwa tabia ya kujaza mimba na kuzikataa
 
- Haipendezi mwanaume kutokuwa na msimamo, kuyumbishwa na washikaji wake.
- haipendezi mwanaume kutokuwa na plans za maisha kwa familia au kuwa na plan asizoweza kutekeleza yani hana mbele wala nyuma
- haipendezi mwanaume kugombania urithi
- haipendezi mwanaume kuacha mkewe aedeshe nyumba kisera, kiuchumi au kimaadili
 
haipendezi mwanaume unaingia chooni alf unakunya/harisha pembeni ya choo alf hauflashi.
 
neno.........

Back
Top Bottom