Unahitajika uvumilivu upitao ubinadamu.
Haipendezi mwanaume kununua ka-vista au ki-gx 110 na kila akishuka anatingisha funguo kama amepaki CESSNA two seates! (ni jet hiyo jamani sio AUDI AU LAMBORGINI AU ASTON MARTIN).
uwiiiiiiiiiiiii.......hahhhahahaaa
Haipendezi mwanaume ukaomba mkeo mchezo akakunyima halafu ukamwacha hivihivi tu.
Haipendezi mwanaume ukaomba mkeo mchezo akakunyima halafu ukamwacha hivihivi tu.
Haipendezi mwanaume kufuga mivuzi na kulazimisha kun*******liwa.
Haipendezi mwanaume kufuga mikucha halafu ukute michafuuuu
Haipendezi mwanaume kutoa harufu mbaya mwilini. Kwapani, Takoni,Miguuni,
Mdomoni,Sikioni,ama hata Puani
haipendezi mwanamme kupenda makalio makubwa wakati alimuoa mkewe akiwa na pasi utadhani aliangushwa bafuni akiwa mdogo.
hahaaaaaaaaaaaaa khaa!Haipendezi mwanaume kufuga mivuzi na kulazimisha kun*******liwa.
Haipendezi mwanaume kufuga mikucha halafu ukute michafuuuu
Haipendezi mwanaume kutoa harufu mbaya mwilini. Kwapani, Takoni,Miguuni,
Mdomoni,Sikioni,ama hata Puani
haipendezi mwanaume kusifia msichana mwingine mbele ya mkewe au hata kusimulia juu ya mazuri ya ma x wake mbele ya mkewe
Haipendezi jibaba jitu zima linajikunakuna na kushikashika ofisi kuu in public
inasikitisha sana kuona wanaume tunavyohangaikia maisha wakati wengine hawa-appreciate[/QUOTE
Dawa ni kubadilika tu, ukirudi umelewa, oga, piga mswaki, lala na usikumbatie mwenzio, wala kuongea, asubuhi si inakuja? Na ukiwa mpole, unaweza kukuta mama mwenyewe kakudandia! We endelea ila usiwe na tabia za kuwaambia watu kuhusu mkeo, mara oooh unajua nanunua toyota mpya hii gx 110 nampa wife, mara oooh nimemlipia mdogo wake wife, mara eti nina site namalizia! What for bana, we kama unaplay part yako just do it. Wacha kujitutumua, ongea vizuri na mkeo kwani hata akiuza maandazi hakosi buku tano ya kulisha familia sasa mbona wewe makelele mengi wakati mkeo kakupatia nauli ya kwenda ofisini miezi sita yote au kumi.
hii haipendezi kabisa na wengine wanaingiza kabisa mkono ndani ya suruali ...yuk!
natamani ningefanya analysis ya post zote hapa niwape majibu kuonyesha ni mambo gani yanakera zaidi
haipendezi mwanamme kufika miaka 45 bado hajajenga hata kama ni kibanda cha tope, hii huonyesha kiwango chake cha malengo na yuko 'realistic' kwa kiwango gani.