Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Kununua kiwanja kwa jina la demu au kujenga hati ya nyumba kwa jina la demu nao ni uzuzu
 
Kununua kiwanja kwa jina la demu au kujenga hati ya nyumba kwa jina la demu nao ni uzuzu
Hii kweli kabisa. Eti mtu anajenga nyumba kwenye kiwanja chenye jina la demu. Dunia INA maajabu sana.
 
Mkuku kumuweka profile picha ni ndoano kama ndoano zingine tu sio uzuzu nikipata changu naweka ua jeusi kama kawaida
 
Mkuku kumuweka profile picha ni ndoano kama ndoano zingine tu sio uzuzu nikipata changu naweka ua jeusi kama kawaida
Hahahaaa, mkuu hapo umeua. Sasa utabadili mara ngapi
 
Mbona hujaweka kupiga deki???
 
Unajenga nyumba? Halafu baadae unakuja kuomba ushauri mambo yakiharibika.
Kuhonga kwa mwanamke.
KUSIZIDI UWEZO WAKO.
Ni kama Betting.weka kiwango ambacho hata ukipoteza Hautaumia moyo.
 
Kutekwa kimapenzi na kupigwa limbwata ni chanzo kikubwa cha uzuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…