Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununua kiwanja kwa jina la demu au kujenga hati ya nyumba kwa jina la demu nao ni uzuzu
Rafiki dada yuko wapi??Mazuzu mkuje huku
Mkuku kumuweka profile picha ni ndoano kama ndoano zingine tu sio uzuzu nikipata changu naweka ua jeusi kama kawaidaHabari wakuu,
Kuna mambo ambayo huwa ninashindwa kuelewa pale binadamu mwenzangu wa kiume anapofanya eti kwa ajili ya Mwanamke, tena wakati mwingine ni mpenzi tu.
Naandika haya nikijua sitafurahisha baadhi ya watu lakini ukweli ni kwamba kufanya yafuatayo kwa ajili ya mapenzi, kwa ajili ya mwanamke ni uzuzu
1. Kuchora tatoo yenye sura au jina la mpenzi ni uzuzu
2. Kumsomesha demu wako ni uzuzu
3. Kumjengea nyumba demu au familia yake ni uzuzu
4. Kuweka profile picture ya demu wako kwenye social media ni uzuzu
Taja uzuzu mwingine wanaofanya baadhi ya Wanaume katika mapenzi
Nilimpa ujumbe wako rafiki anakusalimia sana soon anarudi utamuonaRafiki dada yuko wapi??
Mbona hujaweka kupiga deki???Habari wakuu,
Kuna mambo ambayo huwa ninashindwa kuelewa pale binadamu mwenzangu wa kiume anapofanya eti kwa ajili ya Mwanamke, tena wakati mwingine ni mpenzi tu.
Naandika haya nikijua sitafurahisha baadhi ya watu lakini ukweli ni kwamba kufanya yafuatayo kwa ajili ya mapenzi, kwa ajili ya mwanamke ni uzuzu
1. Kuchora tatoo yenye sura au jina la mpenzi ni uzuzu
2. Kumsomesha demu wako ni uzuzu
3. Kumjengea nyumba demu au familia yake ni uzuzu
4. Kuweka profile picture ya demu wako kwenye social media ni uzuzu
Taja uzuzu mwingine wanaofanya baadhi ya Wanaume katika mapenzi
[emoji16]ukipata wawili nipunguzie mmojaNatamani na mm nipate zuzu moja ebu nitafutie huko mmeambiwa kusomesha demu ni moja ya uzuzu na kujichora tatoo
Na ww si unampa lakin mkuu?Akinipa mzigo.nagharamia tu.
Mpaka anase kwenye MtegoHahahaaa, mkuu hapo umeua. Sasa utabadili mara ngapi
Kuhonga kwa mwanamke.Unajenga nyumba? Halafu baadae unakuja kuomba ushauri mambo yakiharibika.
TunapeanaNa ww si unampa lakin mkuu?
Mbona mie nimechora sura yako karibu na mimiNatamani na mm nipate zuzu moja ebu nitafutie huko mmeambiwa kusomesha demu ni moja ya uzuzu na kujichora tatoo