Kufanya Hivi kwa Ajili ya Mwanamke ni Uzuzu

Kuna sehemu huwa wanaenda huchomoki muombe Mungu tu akuepushe
Huko huendewa pesa sio mtu na mtu mwenye pesa zake hawezi fanya huo uzuzu jamaa anaouzungumzia ktk uzi wake, mwenye pesa hutaka kitu kipya kila wakati hajifungi sehemu moja. Wanaofanya huu uzuzu ni wale tiamatiamaji ili wasiponyokwe/wasitemwe.
 
Hahahaha, hapa utagusa wengi. Halafu unakuta anatumia hiyo simu kufanya appointment na midume mingine.
Na ndio inakuwaga hivyo. Unamnunulia cmu yeye ana cheat kupitia cmu hiyo hiyo. Ndio maana wanaume wengine wanashindwa kuvumilia wanaua kabisa
 
Umemaliza kazi boss. Umemaliza maana ya kuna masoro ..mazuzu.. majinga. Yanafanya hiv vitu sana
 
Kwenye namba nne ni kawaida unless uwe player.
Namba 3 tena utajenga mkiwa na miaka si chini ya nane kwenye ndoa.
 
Umemaliza kazi boss. Umemaliza maana ya kuna masoro ..mazuzu.. majinga. Yanafanya hiv vitu sana
Mwalimu wangu wa Financial Management alikuwa anatuhusia mambo mawili, its very hard to be a man bila pesa na pia mwanamke sio ndugu yako always. Hayo yapo kichwani mwangu toka nilipoambiwa na nayaishi siwachi kuyatafakari kila kukicha.
 
Hii kweli kabisa. Eti mtu anajenga nyumba kwenye kiwanja chenye jina la demu. Dunia INA maajabu sana.
Ktk kitu hata madingi wanakataa.. ni kukunua kiwanja halaf ukaandikisha jina la demu. Hapo utakuwa umechimba shimo na kumbukia mwenyewe
 
2. usimsomeshe kama demu wako msomeshe kama unatoa msaada kwa mwanamke yeyote yule
3. kama unauwezo wa kufanya hivyo haina neno wajengee wazazi wake kama upo uhitaji wa kufanya hivyo
 
Mkuu, uzuzu mwingine ambao wanaume wenzetu walio wengi wanaufanya sana kwa hawa viumbe ni kumpa attention mwanamke kupita kiasi hadi inafikia kipindi mwanamke anamuona bonge moja la fala! [emoji23][emoji23]
Yap. Kuna kaukweli hapa. Ukimpa attention sana anajisahau na kukuona zuzu.. zuzu zuzu.
Unampa attention kias then una bale out..
 
Mwalimu wangu wa Financial Management alikuwa anatuhusia mambo mawili, its very hard to be a man bila pesa na pia mwanamke sio ndugu yako always. Hayo yapo kichwani mwangu toka nilipoambiwa na nayaishi siwachi kuyatafakari kila kukicha.
He said the truth. Pure truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…