mr kipengele
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 210
- 620
Sijaona ubara wa shule za kanisa huwenda una unataka kuleta ushawishi wa kipumbavu usio kuwa na kichwa wala miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule yangu hiyo. Nyeguna ilikuwa shule ya kati ya kanisa. Nilikuwa huko 1962-1965. Naikumbuka saana.Kama uliupata huo ualimu kwa kukesha ukikariri utawaona mapadre wabaya.
Duh kumbe ni kongwe! Nyegina, Makoko, Kowak, Mwembeni, Songwe, Musoma Tech na Ikizu zinanikumbusha MaraShule yangu hiyo. Nyeguna ilikuwa shule ya kati ya kanisa. Nilikuwa huko 1962-1965. Naikumbuka saana.
Mkuu punguza Chai, ukirejea vyanzo vya taarifa shule hiyo NYEGINA imeanzishw mwishoni mwa miaka ya 1980s sasa hiyo unayosema 1960s labda Nyegina ya PolandShule yangu hiyo. Nyeguna ilikuwa shule ya kati ya kanisa. Nilikuwa huko 1962-1965. Naikumbuka saana.
Hiyo sio shule ya SeminariHizo shule za seminary zinataka walimu creative, sio experience peke yake, huwa wanapima ubora wa mwalimu waone anaweza vipi kukuza ubongo wa wanafunzi wao, ndio maana huwa zinafaulisha zaidi.
Hiyo experience unaweza ipeleka shule za serikali, huko wataonekana ndio mafundi haswa.
Kama walivyosema wengine,
Ubora wa mwalimu unapimwa Kwa uwezo wa kufanya wanafunzi waelewe, hivyo wanafunzi ndio wataulizwa kuwa mwalimu anajua kufundisha au hajui. Wakimaanisha wanamuelewa au hawamuelewi.
Kisha wanaangalia matokeo ya mwisho ya kitaifa ikiwa ni kweli wanamuelewa au hawamuelewi. Kama amefelisha huyo sio mwalimu Bora.
Mwalimu Bora akifelisha zaidi ya mara mbili huacha kazi mwenyewe wala hasubiri kufukuzwa
Nimekusikia weka na namba tushauriane zaidi.Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi.
Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla.
Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui kufundisha... Hivi inawezekana leo mwalimu aliyefundisha kuanzia mwaka 1997 hajui kufundisha?
Naomba niishie hapa lakini uongozi mpya wa ndugu Padre Luvakubandi naomba utafakari upya suala hili na uwape walimu hapo mikataba waendelee kufundisha Nyegina.
Na hapo hapo uongozi eti unawataka wakabidhi nyumba kabla ya tarehe 4 mwezi January.
Mwalim kilazaUnamwambia nani sasa