Pre GE2025 Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa! Sheria ya Uchaguzi ni kosa. Kwanini tunarudia kosa? Haki si hisani, ni stahiki. Bunge tutendeeni haki!

Pre GE2025 Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa! Sheria ya Uchaguzi ni kosa. Kwanini tunarudia kosa? Haki si hisani, ni stahiki. Bunge tutendeeni haki!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanabodi,

Kufanya kosa, sii kosa, kosa kurudia kosa, nchi yetu ya Tanzania, tuko hapa tulipo, kwasababu tumefanya makosa mengi tuu ya kisiasa, ya kiuchumi na ya kijamii, ndio yametufikish ambapo baadhi ya makosa hayo, ni makosha hapa!.

Makosa mengine ni makosa ya kijinga tuu kwasababu ya ujinga wetu!. Tulikuwa ni wajinga, kwasababu tulikuwa hatujui!. Sasa tumeelimika, tumeerevuka, ujinga umetutoka, sio wajinga tena!. Swali ni, pamoja na werevu wetu wote huu, kwanini bado tunataka kurudia ujinga ule ule tena?!, kwa kufanya kosa lili lile makosa kule sii kosa kwasababu tulikuwa hatujui, lakini kurudia kosa ndio kosa!. Sheria ya Uchunguzi iliyopo sasa ni kosa!, tumeleta muswada wa sheria wenye kosa lile lile !. Kwanini tunataka kurudia kosa?!.

Namalizia kwa kusisitiza, tulifanya makosa huko nyuma, kufanya kosa wakati hujui ni kosa, sii kosa, kosa ni kurudia kosa wakati tayari umeisha jua ni kosa!.
Kwanini tunataka kurudia kosa

Paskali
[/LIST]
Hata katika uteuzi, kuna makosa yalifanyika, hivyo kufanya uteuzi kwa makosa sii kosa, ila kurudia kosa kwenye uteuzi ni kosa!. Kwanini tunarudia makosa?!.
P
 
Back
Top Bottom