Kufanya mapenzi bila kinga

Kufanya mapenzi bila kinga

ule ujinga wa kuuana kimacho macho hakuna sahz,mwambie akapime
 
swala la kupima linaambatana na uaminifu hata mkienda kupima leo mkakuta negative kama c mwaminifu ni kazi bure kwani anaweza kwenda kwa wengine akaambukizwa na atkuambukiza kwani tayari utakua hauna wasiwasi naye

ndo hicho ninachohofia, watu hawaaminiki kabisa
 
nshaionja, na mtu mwingine ndo maana sioni tofauti bora nilendelee kuwa safe zaidi kwa kutumia kinga

Ladha iko kwenye ubongo wako. Kama utakuwa unafanya peku peku wakati akili yako haikupi kabisa, hutakuwa confortable wala hutaenjoy. Msomeshe mshikaji na umweleze risks ni nyingi. Zaidi ya STDs unaweza kupata mimba zisizotarajiwa na mwisho wake mkaishia kulaumiana wakati anayeathirika zaidi ni wewe. Be safe. Live and let live.
 
Mapenzi wote mnatakiwa kuinjoy sasa kama mmeshapima mkajikuta mpo poa kwa nini msile kitu bila hayo malailon?
Au mlipima ili iweje sasa, kama ni mimba hata kama hutaki kutumia kinga ya vidonge au sindano weka calender kichwani mfuraie maisha pamoja.
 
Kutumia kinga c kutopendana, ila nenda mkapime na mtafute njia ya kuzuia mimba hlf nenda hiyo pekupeku.
 
nenden mkapime kwanza, ila raha ya pekupeku ipo ila jiandae kupokea goli na ujauzito
 
je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,

So simple nendeni mkapime.yena nadhani kwa hpo Tanzania kupima ni bure
 
Tumepima lakini sipendi peku peku, naona ladha ni ile ile hata ukitumia kinga

Basi vaa wewe zile za kike kama unaona ladha ni ile ile mmeshapima still humuamini mpenzi wako usamba au??
 
mapenzi nje/kabla ya ndoa ni headache tupu, condom ni must.
GET MARRIED to partially solve the puzzle.
 
Marrykate haupo tayari ukiwa unaijua hali ya maambukizi ya vvu kwako au unaamini bila kupima ukajua????????

Pimeni mjue halafu mchukue hatua

Wanaopendana kwa ukweli WATALINDANA>
 
So simple nendeni mkapime.yena nadhani kwa hpo Tanzania kupima ni bure
Saint Ivuga, wewe umepima? Unajua kuna window period ya miezi 3?
Kama bado yupo kwenye hiyo window period je? Condom muhimu tu...
 
Last edited by a moderator:
abstinence is the best option... achana na makaratasi
 
Sasa hapa JF unaomba ushauri au?sijakuelewa! naona kama umeshajijibu mwenyewe na uamuzi unao mwenyewe! hata UKIMWI utaugua mwenyewe,ARV's utakula/utameza Mwenyewe, KUHARA utahara mwenyewe, kufungwa nepi utafungwa Mwenyewe, wakati huo mpenzio anaetaka bila kondom keshasepa akikucheka!
 
Back
Top Bottom