Kufanya mapenzi kinyume na maumbile



Khaaa! natamani nikuite ushuhudie! Ni kwel. Kuanzia leo anza kukaa karibu na watoa tigo utajionea
 

Pole zao
 
Kula kwa staha ndio muhimu cyo kila cku bhana ile kitu tamu hajabu
 

We ni muongo sio lazima kila mtu awe wazi hapa ila wengine wanawapenz wao wanawala tigo miaka saba sasa na wanapata ujauzito wanajifungua salama na kwa njia ya kawaida na hakuna kuvuja uchafu sema mtaanai wapo watu wanafanya bila tahadhari ya kutosha.

Mghosi
 
Weng Wanaofny Hvo N Wale Ambao Mbele K Kubwa Na Mwnaume Ana Penis Ndgo Ko Akimwngza Mbele Anaona Inapwelepweta Ko Wnamua Kugeuzana Nyuma Il Ibalanc,bt Weng Wnye Tabia Hzo N Waarab,wahnd,wapemba Na Watu Wa Tanga Kigezo Et Wanalnda Bkra,ujnga Tu..Mbele Ndo Kila Kitu Na Ndo Special Kw Jil Hyo Hapo.
 

Na hao wazungu waliowaambukiza nyinyi vijana vitendo hivi nao huwa wanatunza bikra zao au......?
 
ukweli kabisa hapa ninapata picha halisi haina hata haja ya kuwauliza watu kwenye utafiti wa kula mbolea. nimesoma comments nyiiingi sana ki ukweli karibia 70% wanaonyesha kama wanaupenda mchezo huu ila wanaogopa kusema wazi wazi na ndio wanatoa comments ambazo sio negative halafu 25% wao wameonyesha kabisa wanapenda hii mambo halafu kilichonishangaza zaidi ni 5% tu wamepinga tena hawa wamerudia rudia comments. inaonyesha kabisa nowdays wamependa sana kula mbolea. ila ukweli utabaki pale pale mapenzi ni maridhiano baina ya watu wawili na si vingenevyo na kama hakuna maridhiano hapo hakuna mapenzi zaidi ya kujionyesha kwa watu mnapendana mwisho wa siku atatafuta kile anachokipenda kile ambacho wewe huwezi kumtimizia sasa uamuzi na akili iko kichwani mwako hili haliitaji shule kujua hiki
 

Binadamu amekuwa mdadisi siku hadi siku, kiukweli mkundu unakazi moja tu ya kutoa mavi, si kuingizwa mboo. Sasa suala la kufanya ama kutofanya ni utashi wa mtu. Binafsi sifanyi sitafanya

Mungu anisaidie nife na bikira ya mkundu ht kinyaa hawana harufu ya mavi loh pyuuuuu
 

Yaan cku ya mwisho kaz itakuwepo kweli dunia imefikia ukingoni alichokikataza mungu na kukilaani binadamu tunakihalalisha na kukisifia na kuona ndo tunakwenda na wakt haya wenye kufanya wafanye fainali inakuja
 
Jaman dada angu kungwi maarafu amefungua akaunti IG atakua anawafunza utamu wa chumbani
Search stailzamahaba na mumfolo kabla hajawa private twenden jaman kwa fujoo
 

Ben em niambie kama una experience na ili.....
Kuna effect gan mwanaume ku stay still 24 yrs bila ku sex??
maan naona wengi wanasema ina effect ki afya,je ni zp naomben msaada kwa wataalam
 
Imekua ni jambo la kawaida na imeshamiri kwa vijana wengi sana. Kujiingiza kwa kasi sana katika mahusiano kinyume na maumbile. Ninapo sema mapenzi kinyume na maumbile nina maanisha mwanaume kumwingilia mwanamke nyuma au kwenda mbali zaidi hata kumwingilia mwanaume mwenzie. Unaweza kuonekana mshamba au hina.mapenzi mpaka ufanye tendo hilo.

Mahusiano ya aina hii ni kumchukiza Muumba na pia ina madhara kiafya.

1. Kushindwa kuzaa kwa kawaida na kupelekea mwanamke kufanyiwa operation. Unapofanya mapenzi kinyume na maumbile hasa wale walio kubuhu. Wanaona aibu kuzaa kwa njia za kawaida kwa kuogopa kuharibu kwa manesi na pia kuona aibu kugundulika mchezo wao. Hivo hufanya operation kuficha aibu yao.

2. Kushindwa kusukuma mtoto wakati wa kujifungua. Mpaka wawekewe matambala kwenye njia ya haja kubwa. Na inakua fedhea na kumuaibisha mumeo kama sio muhusika wa michezo hiyo. Utaambulia matusi kwa manesi na lugha za kejeli. Na dhihaka sio mchezo mzuri.

3. Kupigwa bomba kwa wanaume. Unapomwingia mwanamke au mwanaume kinyume na maumbile . Ule uchafu huwa unaingia na kuziba mirija ya uzaz wa mwanaume. Itakulazimu utolewe kwa bomba. Ni maumivu makali sanaaa. Kwakuwa itabidi bomba iingizwe kuflash. Na pia kuna kejeli za manesi na aibu.

4. Mapenzi kinyume na maumbile. Husababisha ukimwi kirahisi. Njia ya haja kubwa sio salama kiafya. Ni njia laini sanaaa na nyembamba. Kondom ni rahisi kupasuka na kupata michubuko kirahisi sanaaa.

5. Kudharaulika na jamii. Haya ni mapenzi ya siri sanaa. Wengi wanaojihusisha huwa wanaficha. Pale wanajulikana huona aibu kubwa sanaa. Ila utaficha aibu yako kwa wanadamu ila huwezi ficha kwa Mungu.

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni kumkufuru Muumba. Ni laana na aibi kubwa sana. Ina madhara kiafya na pia ni dhambi kubwa sanaa.

Chanzo chake

1. Ni tamaa ya kujaribu kila kitu. Binadamu wanapenda jaribu kila kitu mwisho wanamkosea Muumba wao.

2. Tamaa ya pesa na maisha ambayo sio yao. Wanaume wengi huwa mashoga kwa tamaa. Mwanaume unatakiwa kupambana ili upate chako ukilemaa utakua choko. Wanawake nao wengi wao ni tamaa ya pesa wanajikuta niwa tumwa w ngono.

3. Kumsahau Muumba na kusahau hii dunia tunapita. Ipo siku watalia na kusaga meno.

4. Utandawazi na kuiga mambo ya wazungu. Mwisho wa siku wanaingia kubaya....

Hiki kizazi ni kibaya kuliko sodoma na gomora. Mwenye kusikia na asikie na mwenye maamuzi ni wewe endeleeni kutikisa kimba ila cha moto mtakipata.
 
Last edited:
Binafsi siafiki mambo ya mapenzi ya jinsia moja lakini huwa napinga sababu zinazotolewa na wenye kulaani vitendo hivyo. Naamini "Nothing is good or bad but your thinking make it so".

Wengi wetu tumekuwa kukilaani utandawazi bila kujua tafsiri ya utandawazi. Kuwa muumini wa dini za kigeni tayari ni utandawazi. Na kuwa muumini wa dini fulani kuna kuathiri na kukufanya kufuata utamaduni wa jamii ya watu ambako dini ilianzia.

Kuna unafiki mwingi kwenye kujadili suala hili kwani wengi wanatumia "hisia" na si tafiti. Kuna utafiti juu ya unyanyasaji wa kina mama ulifanyika, takwimu zilionyesha % ya wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ipo juu zaidi Zanzibar na hasa Pemba kuliko sehemu zingine za jamhuri ya muungano.

Madhara yanayopatikana kwa kufanya hivi ni madhara binafsi na hayaiumizi jamii kwa ujumla wake. Mfano wale walioruhusu dawa "feki" za ARV kutumiwa na wahitaji na mtu msengerema au bash.. yupi wa kuuwawa.

Kila Mara nasema tumeaminishwa Kuna kundi la watu "watakatifu" na wengine ni wadhambi. Jambo hili si sahihi kwani wahenga walisema "hiari yashinda utumwa". Kama mtu na mumewe au na kimada wake wamehiari kufanya sisi ni nani hadi tuwazuie. Maana katika mizani ya yule alie juu hakuna DHAMBI kubwa wala ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…