Galacha Maestro,
Nahisi tupo upande mmoja juu ya ukakasi wa ''anal sex'', ''lesbianism'' na ''gays''. Nani muamuzi wa kitu sahihi katika ulimwengu wa leo?
Bahati mbaya sana kuzaa ama kupata watoto sio miongoni mwa haki za kibinanamu, unaweza kusoma kwa wakati wako ili ufahamu zaidi.
Serikali yenye mkono mrefu imejaribu kuzuia hili lakini imeshindwa, kwa sasa watu wenye tabia hizi wapo duniani kote, katika mataifa yote. Sad enough we have religious leaders who are in the same bucket.
Ni haki ya kila mmoja kuwa na maoni yake lakini hakuna mwenye haki ya kuwaamulia wengine nini cha kufanya ama kutokufanya ili mradi tu kile wanachofanya hakikuathiri.
Kufanya mapenzi inaweza kuwa tafsida katika lugha yetu lakini huoni kuwa kama kitendo cha kumuingilia mwanamke kwenye eneo la haja kubwa ni kufanya mapenzi sasa tatizo lipo wapi kama kinachofanyika ni mapenzi?
I am totally against any form of same sex marriage, anal sex e.t.c however it is not my job to tell people what is right and what is wrong, i dont have that authority.