Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Japo hakuna kubwa wala ndogo. Ila mapenzi kinyume na maumbile ni laana. Na ina madhara. Mbona bange na madawa yanazuiwa na mtu ameridhia kutumia?
 
Pamoja na lawama zote ulizotoa bado unayaaita '' mapenzi ya jinsia moja''.

Kosa namba moja ni kwa wewe kuona kuwa kumwingilia mwanamke kwenye sehemu ya haja kubwa ni mapenzi, au kuingiliana na mwanaume mwenzako pia ni mapenzi.
Hili neno ''mapenzi'' na ''tendo la ndoa'' mnalitumia hata pasipofaa.

Bandiko lako lina hoja inayojadilika tatizo tu tunaishi katika kipindi ambacho dunia imebeba ujumbe mkuu wa ''kuheshimu haki, uhuru na maamuzi ya wengine kama hayakuathiri kwa namna yoyote''- human rights
 
Unazani madawa ya kulevya hayaruhusiwi kwanini? Mapenzi kinyume na maumbile utapataje mtoto? Kama huwezi kupata huoni unanyima right za watu kuishi kwakuwa lazima watu wazae ili uhai uwepo? Kwanini hawaoni hilo hao watu wa human right? kufanya mapenzi ni tafsida.... fikiria chukua hatua.
 
Galacha Maestro,

Nahisi tupo upande mmoja juu ya ukakasi wa ''anal sex'', ''lesbianism'' na ''gays''. Nani muamuzi wa kitu sahihi katika ulimwengu wa leo?
Bahati mbaya sana kuzaa ama kupata watoto sio miongoni mwa haki za kibinanamu, unaweza kusoma kwa wakati wako ili ufahamu zaidi.
Serikali yenye mkono mrefu imejaribu kuzuia hili lakini imeshindwa, kwa sasa watu wenye tabia hizi wapo duniani kote, katika mataifa yote. Sad enough we have religious leaders who are in the same bucket.

Ni haki ya kila mmoja kuwa na maoni yake lakini hakuna mwenye haki ya kuwaamulia wengine nini cha kufanya ama kutokufanya ili mradi tu kile wanachofanya hakikuathiri.

Kufanya mapenzi inaweza kuwa tafsida katika lugha yetu lakini huoni kuwa kama kitendo cha kumuingilia mwanamke kwenye eneo la haja kubwa ni kufanya mapenzi sasa tatizo lipo wapi kama kinachofanyika ni mapenzi?

I am totally against any form of same sex marriage, anal sex e.t.c however it is not my job to tell people what is right and what is wrong, i dont have that authority.



 
Nakushukulu dada yangu mpendwa kwa kuliona, hili ni janga kubwa sana ambalo nalichukia sana,nalikemea kwa nguvu zote. mtu ambae anafanya vitendo hivi au kufanya mapenzi kinyume na maumbile akome tena akome kabisa kufanya kitendo hicho mara moja. kama mtu akibainika anajihusisha na hii kitu 07164, hatua kali zitachukuliwa zidi yake."HAPA KAZI TU".
 
Hakuna wa kuweza kuwazuia kwakuwa ni makubaliano baiba ya pande mbili. Na hizo human right zimetungwa na binadamu. Hata kama hawaandika kuzaa ila ni right ya mtu kuzaa sio lazima waandike hao watuu. Kwangu ni jambo baya nala kukemea sanaa. Ulitaka niweke neno harsh kwa mtandao while people understood the word. That is euphemism nani mapenzi kwakuwa wanaofanya wanapendana na wanalipenda hilo tendo kama wao.
 
Asante kwa kuona hilooo.
 
Mkuu mtu kugongwa ni hiyari yake. Pili pili usiyoila inakuwashia nini mkuu. Baki na maadili yako mkuu. Usipende sana kujadili starehe za wenzako mkuu. Acha kabisa. Na tena wewe unazo starehe unazozifanya na zinakera sana watu. Kama ni kosa tungeni Sheria. Wadada wengine hawaridhiki hadi uingie huko mahala. Na kama mtu ameamua kugongwa basi ni yeye anayeona raha ndani ya moyo wake. Acha kabisa mambo ya kujadili starehe za watu mkuu.
 
Samahani kwa kukuingilia kwenye starehe zako. Ila kama ulivosema kila mtu na,starehe zake ila kumbuka kila mtu ana mawazo yake. Everyman is entitled to his\ her own opinion. Sija kuzuia. Ni mawazo yangu.
 
AISEE,,LAKINI KUMBUKA kuna umma wa NABII nani sijui,,mungu aliungamiza sababu ya uho uchafu waliokuwa wanaufanya wa (Liwaty)_ kwaiyo mungu hapendi aisee,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…