Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito

Kufanya mapenzi kipindi cha ujauzito

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,151
Kufanya Mapenzi Kipindi Cha Ujauzito

Nimefikia hatua ya kutaka tulijadili hili mara baada ya mabishano na mijadala kadhaa ya watu wazima kuhusu mapenzi, staili na madhara kipindi cha ujauzito! kwa leo mimi ntasema machache nnaimani mengi yanajulikana tayari.
Kabla yote ieleweke kwamba wapo baadhi ya wanawake ambao inapofika kipindi cha Ujauzito huwa hawapendi hata kuguswa bega na waume zao, kama hali ikiwa hivi, mume usimmaind sana, elewa ni mapito tu na "atarudi kundini soon" Pia wapo baadhi ya wanawake ambao wanapokuwa na ujauzito basi hamu ya kufanya mapenzi huongezeka maradufu na inawezekana wakataka "tendo la ndoa" Kila siku, hapo pia jua ni mapito, yataisha tuu! Kikubwa ni kuelewa Mkeo yupo katika hali gani na kujitahidi kadri ya uwezo wako kwenda nayo sawa.

Mbali na hayo napenda niseme kuwa "INAWEZAEKANA" kabisa Mume na Mke Kufanya mapenzi kipindi cha Ujauzito wa Mke mpaka siku anayojifungua, bila kuhofia eti utamjeruhi mtoto maana kabla haujafikia alipo mtoto kuna Matabaka ambayo yanamkinga mtoto na uvamizi wa nje hasa wa "maumbile " ya Baba!
Kuhusu Staili nakuomba mume usiwe unampinda sana Mkeo maana utakuwa unamuumiza tumbo,Pia Kama Mke unawasiwasi na Hali yako ni vizuri ukamwona Daktari wako wa Kliniki kwa maelezo au vipimo vya ziada!

Madoctor wetu mnasemaje kuhusu hili?
 
kwa hio inatakiwa kufanya au hapana?
 
Hili mbona linajulikana ,liko wazi mtu mpaka ufikie kuwa na mimba kama hujui hili we chizi na hiyo mimba sio yako
 
Mtoa mada kaweka sawa kila kitu, tendo la ndoa ni jambo la maridhiano hivyo basi kama mama mja mzito hafurahii kitendo hicho basi inabidi mzee ale jiwe kwa kipindi hicho. Kajambo kanakonisumbua ni mambo ya maumbile, wakati wa uja uzito ile kitu inakuwa moto sana kwa sababu ya mgawo wa damu kuongezeka kwenda kwenye viungo vya uzazi. Mengine mtaniambia nyie.......
 
Back
Top Bottom