Kufanya mapenzi kunahusiana vipi na kutokupona kwa kidonda?

Kufanya mapenzi kunahusiana vipi na kutokupona kwa kidonda?

Kuna Siku Niliumia Mguuni Siku hiyo nikataka kula mzigo Demu akaniambia hicho kidonda kitachelewa kupona,nikamwambia acha kichelewa nikala mzigo fresh na kilipona tu fasta.

Watu wanadanganyana sana vijiweni na saluni.
 
Back
Top Bottom