Habari wana jf,
ninaswali kwamba je, mama ambaye ananyonyesha mtoto (labda miezi 3, 5, mpaka 8) akiwa anafanya mapenzi na mumewe kipindi hiki anam bemenda mtoto nikimaanisha mtoto hatakuwa anakua vizuri?? Maana nimesikia kuwa kufanya mapenzi kunachafua maziwa ya mama.
Naombeni ujuzi wenu katika hili.
Karibuni.