Kufanya mapenzi kwa simu

Kufanya mapenzi kwa simu

Inawezekana hiyo ikawa isolated case ambayo haimaanishi ati ukifanya hivyo then utakuja kuwa kama hao.. Wako watu wana over ten years wanafanya hii makitu na bado wako fit na wakikutana na hao wapenzi wao wanakandamizana kama kawaida..
 
It is not, nimeona couple za kutosha tu wakipitia wakati mgumu baada ya kurudi kuishi pamoja.

Haina tofauti na masterbation, tena wengi baada ya simu anaendeleza kwa kuwatch porn. It is very bad kwakweli. Niliacha before it was not too late, it was kwaresma like this time, na nikamuomba Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
Hebu niache bwana! Umesababishwa niulizwe swali na sosoliso kidogo nipaliwe kulijibu.........lol!!!!

Ha ha ha ha Ennie.. Mbona swali jepesi tu.. Ni kama vile unaulizwa utakula wakati unasikia njaa.. Utapaliwa kweli kujibu..?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha Ennie.. Mbona swali jepesi tu.. Ni kama vile unaulizwa utakula wakati unasikia njaa.. Utapaliwa kweli kujibu..?

Hapana kaka,mimi si muumini wa hilo!
Tatizo OLESAIDIMU angeanza maskhara yake yasokwisha!
 
Last edited by a moderator:
[/B]
images

kama kawaida
 
Inawezekana hiyo ikawa isolated case ambayo haimaanishi ati ukifanya hivyo then utakuja kuwa kama hao.. Wako watu wana over ten years wanafanya hii makitu na bado wako fit na wakikutana na hao wapenzi wao wanakandamizana kama kawaida..

Hiyo inahalalisha wewe kuamini kwamba kufanya ngono kwa njia ya simu hakuna madhara yoyote?

Sio lazima matokeo yake yawe kama ilivyotokea kwa huyo binti, yapo mengi tu usiliangalie hili swala kwa upande mmoja ukajifariji..
 
sasa kama anafanya kwenye simu ndo afanye na ww ukiwepo ni sawa kama anagegedana na huyo mpenzi wake mbele yako.....angeenda kwenye hiko chumba cha wageni akanyie upuuzi wake.....kakutia mihemeko tu maskini we !!!
 
Umeshatatua mada yenye kichwa cha habari - Kufanya mapenzi kwa simu

Kiasi fulani.

Yapo matatizo mengi ya kisaikorojia yanayotokana na kamchezo hako, ikiwemo kuipoteza hamu ya mapenzi n.k n.k
 
Kwa wapenzi wa mbali na wasio weza vumilia inaweza kuwa inawasaidia ndio maana wanafanya ila vingine tuwaachie tu wazungu maana kwa upande wangu naona inaongeza usaliti maana kupeana mihemko tu
 
Kiasi fulani.

Yapo matatizo mengi ya kisaikorojia yanayotokana na kamchezo hako, ikiwemo kuipoteza hamu ya mapenzi n.k n.k
Kweli mkuu hili ni janga kubwa

Nawaonea huruma sana hawa wanaozaliwa kipindi hiki wakikua nina uhakika utandawazi utakua ni zaidi ya sasa

Nina uhakika hadi wakifikia umri wa kupevuka itakuwa majanga zaidi, yaani sipati picha kabisa
 
Back
Top Bottom