Acha janja janja yako wewe unapata picha ya usichokijua?????!!!!!!!
A milion dollar question!!!!!
Inawezekana hiyo ikawa isolated case ambayo haimaanishi ati ukifanya hivyo then utakuja kuwa kama hao.. Wako watu wana over ten years wanafanya hii makitu na bado wako fit na wakikutana na hao wapenzi wao wanakandamizana kama kawaida..
Alivyo flow OLESAIDIMU nilipata picha stimu zinavyokata!!!
A milion dollar question!!!!!
Aiseeeeee..
Ha ha ha ha Ennie.. Mbona swali jepesi tu.. Ni kama vile unaulizwa utakula wakati unasikia njaa.. Utapaliwa kweli kujibu..?
Kwani haiwezekani??
Hapana kaka,mimi si muumini wa hilo!
Tatizo OLESAIDIMU angeanza maskhara yake yasokwisha!
[/B]
Hebu niambie ladha ya nyama ya nguruwe!!!!!
Ha ha haaaaa hata basi anaendesha mmoja ila wanasafiri wengi!!!!!!
Inawezekana hiyo ikawa isolated case ambayo haimaanishi ati ukifanya hivyo then utakuja kuwa kama hao.. Wako watu wana over ten years wanafanya hii makitu na bado wako fit na wakikutana na hao wapenzi wao wanakandamizana kama kawaida..
kudadeki yani anafundishwa usagaji.. unabahati ulihama angeambiwa mvue na mwenzio ungevuliwa nguo jana
Umeshatatua mada yenye kichwa cha habari - Kufanya mapenzi kwa simu
Kweli mkuu hili ni janga kubwaKiasi fulani.
Yapo matatizo mengi ya kisaikorojia yanayotokana na kamchezo hako, ikiwemo kuipoteza hamu ya mapenzi n.k n.k