Kufanya mapenzi kwa simu

Ahsante...! amenifanya kichwa kiume..
Bora wewe kilikuuma kichwa kimoja
Mm vyote viwili vingenihangaisha kwani ikisikia Sauti tu huwa hoi
Kuna Wadada wa kiarabu hapa mtaani kwetu huwa wana mihemuko ya kupigiana simu za namna hiyohiyo na hadi kufikia acting ya mshindo km kumsaidia jamaa. kweli ni Funny lkn kwa wengine ni kero
 
Si bora hiyo. Sex kwenye keyboard au keypads za simu
 
Hakika! kwa mimi ni kero, cz amenisababishia nasinzia kazini
 
me hate this thing ...ndo mwanzo wa kuanza ulesbia..Usimkaribishe tena kwako akija kwa kuforce mwambie hakuna kufanya upuuzi uwe mkali na wewe kwa vitendo vya kijinga kama hivyo......Tho najua humuhumu kuna wengine wanasema kwani nini cha ajabu cz wanayafanya...
 
hii ipo hasa pale mwenza wako anapokuwa mbali na wewe tena mnafanya mara moja moja like mara moja kwa mwezi ili kumpunguzia vishawishi sio kutaka kufanya kila siku.tutakuwa/watakuwa watumwa.
 
hii ipo hasa pale mwenza wako anapokuwa mbali na wewe tena mnafanya mara moja moja like mara moja kwa mwezi ili kumpunguzia vishawishi sio kutaka kufanya kila siku.tutakuwa/watakuwa watumwa.
Lakini kuna raha gani?
 
Yeah, huo ni mwanzo na mwisho kuja kulala kwangu.... sikufahamu before kama anatabia hiyo then ukimuona she is so smart... huwez mdhania
 
Hebu toa hiyo Avatar ya N.Mandela.... maneno yako yanakinzana na Avatar
 
Yeah, huo ni mwanzo na mwisho kuja kulala kwangu.... sikufahamu before kama anatabia hiyo then ukimuona she is so smart... huwez mdhania
Mtu mwenye tabia mbaya unadhani anaalama bac!
 
Atakua mwehu hyo!!!!:A S 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…