Kufanya mapenzi kwa wanandoa kwa wiki mara 3 kunapunguza kupata shambulio la Moyo!

Na wasiofanya inakuwaje MziziMkavu?
Bibie Pendelea pia kula ndizi nyekundu utanusurika na Ugonjwa wa shambulio la Moyo (HEART ATTACK)

1450213_232247893608022_1047044755_n.jpg

Red Bananas

-The potassium in red bananas is necessary for proper function of the heart muscle and the digestive system. Red bananas reduce the risk of heart disease and diabetes type 2.

MziziMkavu asante sana;
Sijui kama hizi ndizi nyekundu bado zinpatikana;
Bila shaka huko uliko ndo nyingi;

Ila nitajitahidi kuzitafuta;
Hata hivyo namshukuru Mungu sana
kwa kuwa sinaga matatizo ya kiafya.

Bibie Pendelea pia kula ndizi nyekundu utanusurika na Ugonjwa wa shambulio la Moyo (HEART ATTACK)

1450213_232247893608022_1047044755_n.jpg

Red Bananas

-The potassium in red bananas is necessary for proper function of the heart muscle and the digestive system. Red bananas reduce the risk of heart disease and diabetes type 2.

Last edited by a moderator:
MziziMkavu hapa umenihakikishia nitakufa mapema kwa kukosa hii mambo.....! Na zoezi la kunywa maji siliwezi.
 
Back
Top Bottom