grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Yeye ndiyo zake nini?Wapi Bishanga, njoo huku,uzoefu wako unahusika hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndiyo zake nini?Wapi Bishanga, njoo huku,uzoefu wako unahusika hapa!
Hivi jamani ningependa kushare jambo hili. Jamani ni sahihi kwa watu wanaesema wanapendana kufanya mapenzi chochoroni na je ndo inajenga heshima ukizingatia chochoro si sehemu ya stara. Nawasilisha
kufanya mapenzi nje na sehemu mlioizoea inaleta ashki na kudumisha penzi.mapenzi ni popote hata iwe jikoni,choon,bafuni,ufukweni na nk, ili mradi msiwakere watu.usikaririshe kwenye 6by6 tu hata 2by3,hata mchangani mchezo unachezeka.
na vyooni je?
menikumbusha enzi za o level, vyoo vya wasichana na wavulana vilikuwa vinatazamana,
huko ndio kulikuwa guest.....
kwa hiyo wewe OLYMPIC za uchochoroni ushapiga kama ngapi?
o level wapi huko?
kiriki sec now ni high school.....
Mara nyingi watu wa jinsi hii huelewana tabia zao sidhani kama mtu anaweza kukurupuka tu na kufanya maamuzi tu bila kuonyweshwa ukubali toka kwa mwenzi wakeKuna mtu na mtu wa kupelekwa kichochoroni aisee hata gest za uchochoroni zinawenyewe
mkoa gani?
Mapenzi kokote ilimradi usiwakere wenzako
kwanza salam nyingi sana zikufikie hapa ulipo na hongera kwa kubadlili avatar,shapiga nyingi sana nakumbuka nimefugwa mara moja tu na nimeshukua ubigwa mara zote........ swali lingine?