Kufanya mapenzi kwenye chochoro

me nimezoea round ndefu mara tatu sa vichocholoni itakuwaje,mapenzi ni starehe bana so hutakiwi kuwa na wasiwasi....
 
Haipendezi! Labda dume amezidiwa tu na ikawa hivyo!
Na ikiwa hivyo itakuwa imebidi.


Hivi jamani ningependa kushare jambo hili. Jamani ni sahihi kwa watu wanaesema wanapendana kufanya mapenzi chochoroni na je ndo inajenga heshima ukizingatia chochoro si sehemu ya stara. Nawasilisha
 
kufanya mapenzi nje na sehemu mlioizoea inaleta ashki na kudumisha penzi.mapenzi ni popote hata iwe jikoni,choon,bafuni,ufukweni na nk, ili mradi msiwakere watu.usikaririshe kwenye 6by6 tu hata 2by3,hata mchangani mchezo unachezeka.

kwa hiyo wewe OLYMPIC za uchochoroni ushapiga kama ngapi?
 
kwa hiyo wewe OLYMPIC za uchochoroni ushapiga kama ngapi?

kwanza salam nyingi sana zikufikie hapa ulipo na hongera kwa kubadlili avatar,shapiga nyingi sana nakumbuka nimefugwa mara moja tu na nimeshukua ubigwa mara zote........ swali lingine?
 
mnanikumbusha JKT tulita mitunduruni wakati tukienda tafuta kuni au kulle Marangu TTC (Marangu falls)
ww mzigo sio wako uanataka show off za nini km mwenyewe karidhia tunamwibia mwenye mali na guest hatuna au gari hatuna kwenye giza huwa patam na wote muwe kwenye kilaji utablow
 
Kuna mtu na mtu wa kupelekwa kichochoroni aisee hata gest za uchochoroni zinawenyewe
Mara nyingi watu wa jinsi hii huelewana tabia zao sidhani kama mtu anaweza kukurupuka tu na kufanya maamuzi tu bila kuonyweshwa ukubali toka kwa mwenzi wake
 
Love can stand & speak anytym, anywhea, wc any rizon & woteva!UKPENDA UTAFANYA TU, UTAONA UTAM TU, bt ukiona mtu anatangliza sna heshma/mashart kibao kwny luv weka QN MARK hapo!Chezea cho2ro ww inatia damuni noumaaaa....teh teh
 
It acts like chachandu. Si mbaya mkistua kidogo then mkaenda kumalizia kunako faragha.
 
Mapenzi kokote ilimradi usiwakere wenzako

pia uchochoro unategemeana jamani, uchochoro kama wa hapa Dar hata watu wawili hampishani chini maji yanatiririka hapana siwezi hata nikupendeje, uchochoro wa vijijini unaweza labda uogope nyoka na siafu, kunakuwa na space na ile greenish inaweza kuwa memory.
 
kwanza salam nyingi sana zikufikie hapa ulipo na hongera kwa kubadlili avatar,shapiga nyingi sana nakumbuka nimefugwa mara moja tu na nimeshukua ubigwa mara zote........ swali lingine?

Mi mzima bhana,vp wewe uko poa?! dah!! ile avater ilikua inawaumiza watu vichwa bhana. ya sahiv naona iko poa mana nimetoka kihandsome zaidi!! ....... we ni mnoma kumbe hako kamchezo kangejumuishwa ungekuta TZ tuna medali!!! swali jingine sina labda nikupe salamu kwa huyo ulopiga nae gemu za uchocho!!! hahahahahhahaha
 
uchochoroni kuna raha yake eti!kama hujawahi jaribu uone!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…