Kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kosa kisheria, bali inahesabika kama kubaka

Kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kosa kisheria, bali inahesabika kama kubaka

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Baadhi ya wadau wa sheria wamekiri kuwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi halipo kisheria bali neno kubaka ndilo linalotambulika.

Wameyasema hayo baada ya hukumu ya hivi karibuni ya MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba kuamua kuwa kufanya mapenzi na mwanafunzi siyo kosa kisheria.

Hukumu hiyo ilitolewa Oktoba mwaka huu na Jaji Gabriel Malata baada ya mshtakiwa Thadeo Pastory kuhukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi na ndipo akaenda kukata rufaa katika Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba.

 
Mtu ajichanganye afanye hivyo ndo atajua hajui 😂😂😂😂😂😂.
 
1. Kufanya mapenzi ya mwanafunzi siyo kosa kisheria.
2. Kufanya mapenzi na mwanafunzi ni kubaka.
3. Kumbe kubaka si kosa kisheria?

Taifa hili liko ICU kabisa!
 
Mbona kuna mwanasheria mmoja alisema kujamiiana na mwanafunzi siyo kosa. Sasa iweje kujamiiana na mwanafunzi niliyekubaliana naye kugeuzwe kuwa ni kubaka?
 
Back
Top Bottom