Wakuu habar zenu natumai mko poa..naomba kueleweshwa km hii kitu inafanya kazi katika kupata mimba pindi ufanyapo mapenzi siku ya 3 au ya 4 kabla ya kupata period na ikiwa umeshaona dalili zote za kupata hedhi chuchu za maziwa kuuma,chunusi,miguu kuchoka..kuna uwezekano wa kupata mimba?period atapata tarehe20 mwez huu..mzunguko 28dayz!