Kufanya mapenzi/tendo la ndoa na mzazi wa mwezi mmoja

Salam zenu wadau Naomba mnisaidie yafuatayo : _nawezaje fanya mapenzi na mke wangu (kajifungua an

  • 12

    Votes: 0 0.0%
  • 12

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
Yani akanunue changudoa ila asipige home, makubwa haya
 
Mwezi anakupa tu kama kajifungua kawaida, ila ndo mdogo mdogooo bado hali haijawa shwari kivile
Fafanua pls mdogo mdogo kivipi,taratibu,awahi kumaliza,goli moja,apunguze mitindo au....?
 
Wapemba kila mwaka wanazaa mbona hawana shida yoyote? Wiki mbili zinatosha sana kwa mzazi kupumzika na unakula mzigo kama kawa.
 
Khaaaaaa 90 days zinapita hivi hivi??
Una hesabu kabisa 1 hadi 90 mmmh
Eee mkuu walau vifanyio vi'missiane kidogo!
Haraka ya nini sasa nyie binaadam mtazidiwaje na kuku au ng'ombe ambao humvumilia mama mlezi mpaka atakapohitaji mwenyewe?!
 
Eee mkuu walau vifanyio vi'missiane kidogo!
Haraka ya nini sasa nyie binaadam mtazidiwaje na kuku au ng'ombe ambao humvumilia mama mlezi mpaka atakapohitaji mwenyewe?!
Weeeeee kuna wamama wengine wanabana tangu tumbo likianza kuwa kubwa, afu tena ajifungue uanze mambo ya siku tisini eeh labda kama huna kiu au una michepuko yako huko unapiga ila kama ndo hapo hapo unategemea unapiga tu mdogooo mdogo
 
Kwa sisi tuliokuwa tunahudhuria kliniki na wake zetu wakiwa wajawazito, ni kwamba, kama wife kajifungua kawaida bila shida basi siku 30 mnapeana tu, kwa taratibu!

Na kwamba, kama ananyonyesha vizuri katika kipindi cha miezi 6 hawezi pata mimba, hivyo haishauriwi kutumia dawa yoyote ya uzazi kwa usalama wa mtoto!

Mtoa mada karibu katika TEAM BABAZ!
 
Fafanua pls mdogo mdogo kivipi,taratibu,awahi kumaliza,goli moja,apunguze mitindo au....?
Mdogo mdogo hupigi show zile za kukata na shoka, kumkunja kunja, kumbinua hapana kiuno na mgongo bado havijarecover, pia kupiga masaa nane nayo hapana..... Muda huo ni show ya kijogoo jogoo
 
Weeeeee kuna wamama wengine wanabana tangu tumbo likianza kuwa kubwa, afu tena ajifungue uanze mambo ya siku tisini eeh labda kama huna kiu au una michepuko yako huko unapiga ila kama ndo hapo hapo unategemea unapiga tu mdogooo mdogo
Huyo anaebana kabla hata mimba haijafika miezi7 ni hatari sana kwake siku ya kujifungua anaweza kupata michubuko sana huko ndani kwajili ya ukavu!
Manii hulainisha madhari ya mazingira atayopitia mtoto.
Kumbe ndo maana watoto wengine huzaliwa na nywele vipilipili na magaga miguuni kisa kukosa shamboo na utelezi orginal kutoka kwenye "kifanyio cha baba"
 
Huu ni uongo plus utoto
 
Mdogo mdogo hupigi show zile za kukata na shoka, kumkunja kunja, kumbinua hapana kiuno na mgongo bado havijarecover, pia kupiga masaa nane nayo hapana..... Muda huo ni show ya kijogoo jogoo
Inahitaji Umakini wa hali ya juu maana..
 
Haya mambo vijana wadogo hawawezi kuyaelewa! Lakini wacha wakodoe macho pengine wataambuliwa chochote cha kuwafaa mbeleni!
Kubembenda hakupo. Ni kuwa wasafi tu kuepusha uchafu kumfikia mtoto, tena wakati huu mpende sana mkeo, kuwa karibu nae yaani kama ndio unamchumbia, mapenzi yako yatamtia nguvu sana, unaweza kudo nae taratibu taratibu. Mambo ya lishe zingatia sana, supu ya chain beef walau mara mbili kwa siku, mboga mboga, maziwa, mtori na mapoko poko mengine, atengeneze maziwa ya mtoto bila kutetelesha afya yake
 
Wanaume wenye mapenzi ndo watafanya hivi, ila mmh wengine huo ndo muda wa kuwa bize na vihawara si mke kajifungua nae anakua bize utadhani kibajaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…