Haya mambo vijana wadogo hawawezi kuyaelewa! Lakini wacha wakodoe macho pengine wataambuliwa chochote cha kuwafaa mbeleni!
Kubembenda hakupo. Ni kuwa wasafi tu kuepusha uchafu kumfikia mtoto, tena wakati huu mpende sana mkeo, kuwa karibu nae yaani kama ndio unamchumbia, mapenzi yako yatamtia nguvu sana, unaweza kudo nae taratibu taratibu. Mambo ya lishe zingatia sana, supu ya chain beef walau mara mbili kwa siku, mboga mboga, maziwa, mtori na mapoko poko mengine, atengeneze maziwa ya mtoto bila kutetelesha afya yake