Kufanya mapenzi/tendo la ndoa na mzazi wa mwezi mmoja

Salam zenu wadau Naomba mnisaidie yafuatayo : _nawezaje fanya mapenzi na mke wangu (kajifungua an

  • 12

    Votes: 0 0.0%
  • 12

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
Daktari anaekushauri usinywe pombe ye anaingia theater yupo bwax... Koh
Ujue pombe haimzuii mtu kutoa somo mana huwezi jua ndo starehe yake ama laah, na kwa Daktari kunywa pombe ni jambo la kawaida ni kama 80% wanatumia na inawabidi tu watumie kwa shughuli zao za kitabibu tokana na mazingira yenyewe ya kazi...Kwako wewe mwanamke akijifungua baada ya wiki 2 inapaswa aanze kukutana kimwili na mumewe?
 
Mmh msubiri hata amalize miezi miwili,
Pia ukumbuke kufanya tendo hilo kipindi kama hicho usishangae akanasa,
Ndio macho yatakapowatoka, mtoto ana miezi 6 mama ana tumbo la miezi mi 5.
 
Kama tayari damu imekata wala hakuna tatizo kumuungilia nikimaanisha damu ni ile damu ya uzazi, ila ungesubiri kwanza mzunguko wake wa hedhi ukarudi upya, mana wengi baada ya kuzaa mzunguko unavurugika, na unapovurugika utashndwa zuia mimba, usimruhusu kutumia madonge, ila kama huwezi vumilia mpaka mzunguko ukatulia basi bora kutumia mpira, mpaka hapo atakapopata damu yake ya hezi kwa mpangilio, au kama huwezi tumia mpira basi jitahidi kumwaga nje, HAKUNA KUM-BEMENDA MTOTO WALA NINI. baba halisia habemendi mtoto.

WANAVYODAI Kama ataigawa nje ya baba yake , tena kwa wanaume tofauti tofauti ati zile Shah*awa huwa zina virutubisho ambayo huenea katika mwili wa mwanamke, virutubisho vyenyewe vya Protein sasa mara nyingi hukimbilia kwenye maziwa kipindi mama akiwa ananyonyesha sasa mtoto anaponyonya ndio hudhoofika mana masperm au mashawaha mchanganyiko hugeuka sumu tena na sio virutubisho, hasa virutubisho ikiwa havihusiani na damu ya mtoto. (HAIJATHIBITISHWA NA WATAALAM ILA NDIVYO TULIVYOAMINISHWA).
 
mkuu toka nje mwache bdo ananukaananuka maziwa
Mwanaume Mbaya sana wewe, Halaf baadae mnasema ndoa ngumu, kumbe ugumu mnauleta nyie, anuke maziwa amekuwa ng'ombe, hao mnaowafata nje usikute wanawatoto wachanga kama wake zenu, na mnaenda kujigaragaza na jimwili lililochelzewa na mibeberu 10 kama wewe ikamwaga mauchafu, ukifika unanyonya wakati nusu saa tu mwenzio katia dudu hapo, si bora hata harufu ya maziwa ya mkeo ambayo pia si kweli akiogpa fresh akatua vimanukato wakati wa tendo n Ukaenjoy kama zamani, (na baada akaoga ili aondoe harufu sabab ya mtoto).
 
Hivi ukisubiri mpaka arobaini au moaka atakapokuwa sawa utachubuka ngozi???
 
Kubemenda ni nini? Unambemendaje?
Hayo mambo ya kubemenda ni story tu za enzi hizo ili kuwafanya wanawake wavitulize walee watoto vizuri
Afu kweli hizi habar za kubemenda huwa sizielwagi jmn
Baada ya mwezi mmoja hio period inakua imeisha kweli? Na size je kunakuwa kusharudi au ni bonge la bwawa hapo
 
Mhhh mkuu hii mbona km risky sana yani mume akojoe afu usipate ujauzito kwa sababu ya kunyonyesha tu??mbona naona mtu ukiwa kwny fertile days ujauzito utashika tu au mnaonaje
Unaweza fatisha watoto wakapishana miezi aisee
 
LadyRed mimi nimeandika tulichofundishwa clinic nikiwa na wifi yako kipindi cha ujauzito na baada ya kajifungua!

Walisisitiza awe ananyonyesha kwa bidii, na wakatuhakikishia hatanasa katika kipindi cha miezi 6! Sijaweka ya mitaani!

Tumetumia semina hiyo kwa watoto wetu wote wawili na mambo ni SWADAKTA! isitoshe wifi yako ndio wa kwanza kusema AMEMISI!
 
Afu kweli hizi habar za kubemenda huwa sizielwagi jmn
Baada ya mwezi mmoja hio period inakua imeisha kweli? Na size je kunakuwa kusharudi au ni bonge la bwawa hapo
Damu ishakata, panakua pamerudi kiasi ha ha ha
 
Mkuu unaMWANI,,,furahia uwepo wa mtoto kwanza,,au we MPEMBA?
 
Hongera kwenu,inabidi kuhudhuria seminar hizo bila kukosa
 
Hivi panakujaga kurudi kama zamani kweli
Mana mwanaume nanihii haiongezeki hata robo
Teh jamani kwani lactic ukiivuta inabaki ndefu hivo hivo siku inarudi katika hali yake?
Hii kitu ni supa elastic inarudi kama ilivokuwa, usisike chai za watu wanaokimbilia scissor et kuogopa kitu itakua kubwa
 
Yes! Hakikisha unaongozana na mdogo wangu (mwenza wako) kwenye clinic ikifika kipindi cha uzazi wako!

Mkifanya hivyo hamtaumizwa vichwa na hadithi za mitaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…