Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Hapo nimetukana nini? Hata madaktari wenyewe hawashauri kufanya baada ya wiki 2 akitoka jifungua sababu inakuwa badoAcha matusi kwa wazazi pambaff lisingekua hilo bwawa we ungekuwepo ovyooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nimetukana nini? Hata madaktari wenyewe hawashauri kufanya baada ya wiki 2 akitoka jifungua sababu inakuwa badoAcha matusi kwa wazazi pambaff lisingekua hilo bwawa we ungekuwepo ovyooo
Daktari anaekushauri usinywe pombe ye anaingia theater yupo bwax... KohHapo nimetukana nini? Hata madaktari wenyewe hawashauri kufanya baada ya wiki 2 akitoka jifungua sababu inakuwa bado
Ujue pombe haimzuii mtu kutoa somo mana huwezi jua ndo starehe yake ama laah, na kwa Daktari kunywa pombe ni jambo la kawaida ni kama 80% wanatumia na inawabidi tu watumie kwa shughuli zao za kitabibu tokana na mazingira yenyewe ya kazi...Kwako wewe mwanamke akijifungua baada ya wiki 2 inapaswa aanze kukutana kimwili na mumewe?Daktari anaekushauri usinywe pombe ye anaingia theater yupo bwax... Koh
haaaaaaaa mdogo mdogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwezi anakupa tu kama kajifungua kawaida, ila ndo mdogo mdogooo bado hali haijawa shwari kivile
Mwanaume Mbaya sana wewe, Halaf baadae mnasema ndoa ngumu, kumbe ugumu mnauleta nyie, anuke maziwa amekuwa ng'ombe, hao mnaowafata nje usikute wanawatoto wachanga kama wake zenu, na mnaenda kujigaragaza na jimwili lililochelzewa na mibeberu 10 kama wewe ikamwaga mauchafu, ukifika unanyonya wakati nusu saa tu mwenzio katia dudu hapo, si bora hata harufu ya maziwa ya mkeo ambayo pia si kweli akiogpa fresh akatua vimanukato wakati wa tendo n Ukaenjoy kama zamani, (na baada akaoga ili aondoe harufu sabab ya mtoto).mkuu toka nje mwache bdo ananukaananuka maziwa
Afu kweli hizi habar za kubemenda huwa sizielwagi jmnKubemenda ni nini? Unambemendaje?
Hayo mambo ya kubemenda ni story tu za enzi hizo ili kuwafanya wanawake wavitulize walee watoto vizuri
Mhhh mkuu hii mbona km risky sana yani mume akojoe afu usipate ujauzito kwa sababu ya kunyonyesha tu??mbona naona mtu ukiwa kwny fertile days ujauzito utashika tu au mnaonajeKwa sisi tuliokuwa tunahudhuria kliniki na wake zetu wakiwa wajawazito, ni kwamba, kama wife kajifungua kawaida bila shida basi siku 30 mnapeana tu, kwa taratibu!
Na kwamba, kama ananyonyesha vizuri katika kipindi cha miezi 6 hawezi pata mimba, hivyo haishauriwi kutumia dawa yoyote ya uzazi kwa usalama wa mtoto!
Mtoa mada karibu katika TEAM BABAZ!
Wiki mbili kwa kweli sio,hata period ya uzazi haijaishaSijakariri. Niko mhalisia.
Wiki mbili yakhe?
Naaah.....can't do won't do.
LadyRed mimi nimeandika tulichofundishwa clinic nikiwa na wifi yako kipindi cha ujauzito na baada ya kajifungua!
Damu ishakata, panakua pamerudi kiasi ha ha haAfu kweli hizi habar za kubemenda huwa sizielwagi jmn
Baada ya mwezi mmoja hio period inakua imeisha kweli? Na size je kunakuwa kusharudi au ni bonge la bwawa hapo
Hongera kwenu,inabidi kuhudhuria seminar hizo bila kukosaLadyRed mimi nimeandika tulichofundishwa clinic nikiwa na wifi yako kipindi cha ujauzito na baada ya kajifungua!
Walisisitiza awe ananyonyesha kwa bidii, na wakatuhakikishia hatanasa katika kipindi cha miezi 6! Sijaweka ya mitaani!
Tumetumia semina hiyo kwa watoto wetu wote wawili na mambo ni SWADAKTA! isitoshe wifi yako ndio wa kwanza kusema AMEMISI!
Hivi panakujaga kurudi kama zamani kweliDamu ishakata, panakua pamerudi kiasi ha ha ha
Teh jamani kwani lactic ukiivuta inabaki ndefu hivo hivo siku inarudi katika hali yake?Hivi panakujaga kurudi kama zamani kweli
Mana mwanaume nanihii haiongezeki hata robo