KUFANYA Mazoezi kisha kwenda KUFANYA mapenzi kunasababisha Mgongo kuuma?

KUFANYA Mazoezi kisha kwenda KUFANYA mapenzi kunasababisha Mgongo kuuma?

Pilot_In_Command

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
2,507
Reaction score
3,442
Kutokana na Ratiba yangu kubana so Ni lazima nifanye mazoezi hasa hasa ya viungo..

Nakoga vizuri if kuna ratiba ya Kula BUMUNDA basi nalitafuna vizur kabisa..

Kila nikichanganya hizi Ratiba mbili kwa wakati mmoja (siku moja) mgongo (sehem ya juu) huwa inauma kiasi katik siku inayofuata.. Ila baada ya siku mbili kupita hali inakuwa sawa..

Je hii Tabia ya kuchanganya Hizi Ratiba mbili kwa siku moja ina ATHARI kiafya? Or ni Reaction za Mwili tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga ratiba ya kupumzika at least one day baada ya kufanya mapenzi ndio ufanye mazoezi ya viungo. Kwa hiyo ratiba yako hautagain chochote kutoka kwenye mazoezi ya viungo kwasababu ya sex hata kama unapiga kimoja.
Sex yenyewe ni mazoezi tosha so tenganisha ratiba hizo mbili za mazoezi, kula vizuri, pata muda wa kupumzika kabla ya kuungia kwenye ratiba nyingine.
Anha sawa, nashukuru sana, kikubwa ni kuepuka hizo ratiba mbili kwa wakat mmoja..?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshakuwa goigoi mkuu,mashindano waachie vijana,ukishona furaha inaleta na karaha,kwisha.Utafia hapo.
 
Jenga ratiba ya kupumzika at least one day baada ya kufanya mapenzi ndio ufanye mazoezi ya viungo. Kwa hiyo ratiba yako hautagain chochote kutoka kwenye mazoezi ya viungo kwasababu ya sex hata kama unapiga kimoja.
Sex yenyewe ni mazoezi tosha so tenganisha ratiba hizo mbili za mazoezi, kula vizuri, pata muda wa kupumzika kabla ya kuungia kwenye ratiba nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu ntafanya hivyo aisee kumbe najiumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom