Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Anha sawa, nashukuru sana, kikubwa ni kuepuka hizo ratiba mbili kwa wakat mmoja..?Ngoja wataalamu waje ila ninachojua hapo mwili wako unachoka mara mbili kwa siku moja hasa kama unafanya mazoezi ya nguvu na mazito
Sent using Jamii Forums mobile app
Anha sawa, nashukuru sana, kikubwa ni kuepuka hizo ratiba mbili kwa wakat mmoja..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu ntafanya hivyo aisee kumbe najiumizaJenga ratiba ya kupumzika at least one day baada ya kufanya mapenzi ndio ufanye mazoezi ya viungo. Kwa hiyo ratiba yako hautagain chochote kutoka kwenye mazoezi ya viungo kwasababu ya sex hata kama unapiga kimoja.
Sex yenyewe ni mazoezi tosha so tenganisha ratiba hizo mbili za mazoezi, kula vizuri, pata muda wa kupumzika kabla ya kuungia kwenye ratiba nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hata 28yrs sina.. Niwe nishazeeka?Umeshakuwa goigoi mkuu,mashindano waachie vijana,ukishona furaha inaleta na karaha,kwisha.Utafia hapo.
Fresh... MkuuUnaweza kuendelea lakini sio kwa fujo,mbona mimi siumwi...