Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ahahahahh 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha huo mchezo. I pray for ur failureYa pumzi halafu unatakiwa usiwaze chochote.
Hahaa hii ni kweli, mimi pia naweza hii kitu its very simple ukifunguka kwenye ulimwengu wa kiroho na hayo mambo ya meditation kiujumlaHongera mkuu
Eti kuna watu wanajua njia za kuongea na ancestors wao, sijui ni kwwli??
Kweli kabisa, unafunga macho na ku concentrate mara unasikia kelele za msikitini kwenye speaker za watts 10,000.😂😂😂
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Ni kweli hata shangazi yangu anaweza. Nikiwa na matatizo tu nakwenda kwa shangazi kwetu Moshi na yeye unipeleka kwa mizimu (makaburi yetu) na kuniombea. Utashangaa nikirudi Dar tu kila kitu kinakuwa shwari. Cha hajabu nikienda kanisani ama kwa sheikh sifanikiwi, hakika dini za kuletewa ni laana tupu kwetu Waafrika.Hongera mkuu
Eti kuna watu wanajua njia za kuongea na ancestors wao, sijui ni kwwli??
Meditation ni Kama uchawi😂😂😂
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
We focus on good food or mdudu Kama siafu at tanduI find it hard to concentrate😔😔😔.
What do you focus on while meditating ? I just can’t stop thinking.
Sasa hapo amesimama kama kuhani kuongea na hiyo mizimu yenu ila hajaongea nao. Kinachoongelewa hapa ni ile direct communication kana kwamba wamekaa pamojaNi kweli hata shangazi yangu anaweza. Nikiwa na matatizo tu nakwenda kwa shangazi kwetu Moshi na yeye unipeleka kwa mizimu (makaburi yetu) na kuniombea. Utashangaa nikirudi Dar tu kila kitu kinakuwa shwari. Cha hajabu nikienda kanisani ama kwa sheikh sifanikiwi, hakika dini za kuletewa ni laana tupu kwetu Waafrika.
Damu yangu 👊.....Jifunze kufanya meditation
The path society ni jumuia ya walimu wa meditation waliojitolea kukufundisha kufanya meditation baada ya kuona kwa jinc gani jamii ya kitanzania inauhitaji wa meditation katika maisha yao Fanya maisha yako yawe na maana sana kwa kufanya meditation na uwe mtu bora na siyo bora mtu. Elimu hii...www.jamiiforums.com
Meditation: Jinsi ya kufanya na faida zake
ZIFUATAZO NI FAIDA ZA KUFANYA MEDITATION. 1. Meditation inasaidia kutengeneza furaha ya ndani. Tunaposema furaha ya ndani tunamaanisha nini? Ni furaha unayotembea nayo wakati wote, ni furaha isiyotegemea maisha yako yapoje, ni furaha isiyotegemea una vitu gani bali ni furaha inayopatikana...www.jamiiforums.com
TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia
Nawashangaa sana hasa watanzania wanaopenda kuchukuliwa na kila aina ya upepo. Hii ni dini, paganism, kuna watu wanaonekana kuhamasika na kuanza kujifunza au kujaribu wakati huo huo wanajiita wakristo! Hakika hamjui mlitendalo! Soma hapa: Meditation - Wikipedia, the free encyclopedia Kuna...www.jamiiforums.com
Chagua inayokufaa blood 👊🏾👊🏾
Naonaga n kama kitu kisichowezekana maana unawezaje kuwa na utulivu usiwaze chochote na maisha haya yalivo mpera mpera.😂😂😂
Kongole kwa mlioweza ku-concentrate
Hiyo imeendaDuh hatar mkuu
Na hiki ndicho huwa kinaniogopesha siku zoteKuna watu mtakuja kupitilizia huko huko mkashindwa kurudi
ngoja nikazane asanteNi meditation hiyo.
Cha msingi ishinde hofu ongeza uzingativu kwenye hizo rangi utafikia stage ya kuanza kuona mambo tofauti tofauti ambayo yaliwahi kukutokea.
Ongeza uzingativu hapo utafikia stage ya Factory data reset ya yale mambo ambayo huwa yanakuondolea focus.
Automatically utakuwa ni mtu mtulivu, unayefanya mambo yako kwa umakini na uzingativu sana mpaka utaanza kujishangaa.