Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Hongera mkuu

Eti kuna watu wanajua njia za kuongea na ancestors wao, sijui ni kwwli??
Ni kweli hata shangazi yangu anaweza. Nikiwa na matatizo tu nakwenda kwa shangazi kwetu Moshi na yeye unipeleka kwa mizimu (makaburi yetu) na kuniombea. Utashangaa nikirudi Dar tu kila kitu kinakuwa shwari. Cha hajabu nikienda kanisani ama kwa sheikh sifanikiwi, hakika dini za kuletewa ni laana tupu kwetu Waafrika.
 
Sasa hapo amesimama kama kuhani kuongea na hiyo mizimu yenu ila hajaongea nao. Kinachoongelewa hapa ni ile direct communication kana kwamba wamekaa pamoja
 
Damu yangu 👊.....
 
Upo buzy na meditation unasikia huko nje mtoto kaanguka mara umeitwa mara mlango unagongwa

Bila kusahau madeni yanakuja kujipiga mahesabu[emoji849] siwezkwakwel
 
ngoja nikazane asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…