Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
kwa mara ya kwanza, ume surrender teacher π.Naomba tafsiri.
mtu kaangalia YouTube tutorial, anafanya meditation zote kwa kuzichanganya. Kingine watu wana haraka ya kuona matokeo ambayo wanasisimuliwa nayo kupitia talks za watu tofautiKwanza sijajua unafanya aina ipi ya Meditation, Aina kuu mbili kwa begginers ni Meditation ya Pumzi na Meditation ya Mantra[Kurudia rudia maneno].
Wewe unajaribu kufanya ipi?
Hapa sio hivyo mkuu. Ushuhuda unao lakini wewe inaonekana ni mvivu sana wa kuandika maandishi mengiHahahahah
Kwa maana sina muujiza au ushuhuda wowote wa meditation mkuu
Ninge kupa majibu yangu binafsi, unge ona jau.Duh!..tiba ya nini hii ?
Meditation haileti miujiza mkuu, ila inakutengeneza wewe halisi na kukuwezesha kuswitch upande kati ya pande mbili za asili ambazo mtu ako nazo huku ikikuweka imara zaidi kwenye upande huu unaonekana.Tuambie muujiz gani ulishawah kupata as the result of medtn na manfstn??
Nitaanza kuongea mwenyewe na mimi (ila sio hadharani nisionekana 'chizi').
Mimi sijui matusi.kwa mara ya kwanza, ume surrender teacher π.
by the way, nime tumia style fulani, usipo kuwa kichwa huchomoi
Ume enda google π π€£Mimi sijui matusi.
hahaha, uki ongea hadharani lazima wakufunge kamba.Nitaanza kuongea mwenyewe na mimi (ila sio hadharani nisionekana 'chizi').
Soma nilipo kutag, I didn't mean that.Wala hata sijaenda aliyenipa tafsiri ni Eli Cohen