Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nineamua kumuacha maana yupo tu kwa ajili ya kubishana na si kwenda kusearch juu ya mada. Anajibu I tu kirahisi eti theory 😄Jifundishe kwanza nini maana ya meditation na dhumuni lake na faida zake kimwili , kuliko kuongelea kitu ambacho hata kukifanya haujawahi zaidi ya maneno ya kuokoteza tu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Juzi kati hapa najaribu kufanya hiyo nikasikia mlango bro mzigo wetu huu hapa na niichukue ya usafiri kabisa
Meditation nikamwambia hebu ngoja kwanza hela itanipa utulivu zaidi wa kukuelewa
View attachment 3211067
Saa 8-10,hakuna Kelele za vilio vya wakubwa ,Azana,KukuWatu wengi wanaishi mazingira ya kelele hicho kinasababisha huwezi fanya hio kitu,kingine vichwa vimejaa mawazo tele,maybe ujaribu ucku kuanzia saa 8-10
Sometime hizi ndalama tu mkuu 🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bro ukiwa na ndalama husikii hizo mambo...majibu yatakuwa "we need to have tolerance in everything" 🤣🤣Saa 8-10,hakuna Kelele za vilio vya wakubwa ,Azana,Kuku
Kufanya meditation sio jamba la imani au mahubiri kijana , ni jambo la kukaa sehemu ya utulivu tu na kuweka umakini wako sehemu moja ili kutuliza akili, jambo ambalo unaweza kulifanya kwa kujua au bila kujua , ambapo hata wewe kuna mda tu unafanya meditation kiasili tu.Haya ngoja nikuache uendele kuaminisha kuwa hukufundishwa ulifanya tu mwenyewe , yaani imekutokea from nowhere. I beg you STOP IT. ACHA
Asante Mkuu Baba ParokoKufanya meditation sio jamba la imani au mahubiri kijana , ni jambo la kukaa sehemu ya utulivu tu na kuweka umakini wako sehemu moja ili kutuliza akili, jambo ambalo unaweza kulifanya kwa kujua au bila kujua , ambapo hata wewe kuna mda tu unafanya meditation kiasili tu.
Ni kama vile wewe uumejaribu lkn hufiki stage ya kwa kushindwa ku concertrate mara kelele au choo cha jirani au mwingine hawezi focus kufikia kuwa in trance, hizo zote ni saving factors, ndio maana haukuwa demonic unaweza kufunzwa saaana na usifike kwa kuwa mind yako haiwi fragile kuwa possesed. Kila moja kwa aina zakeMkuu which demon possessed you, how were you acting after being attacked n how was it removed???
Bila kujua hata hizo dini kuna namna wanafanya meditation /Tahajudi.Nineamua kumuacha maana yupo tu kwa ajili ya kubishana na si kwenda kusearch juu ya mada. Anajibu I tu kirahisi eti theory 😄
🤣🤣🤣 Ungetulia na wewe uje utuambie kuna nini hukomkuu, hio astral nimesoma humu nikaona watu wakisema na kutadhaharisha baada ya kujua unaweza kufanya menditation ukiwa hata unelala au kukaa nikaona nakua comfortable kulala nikikaa nikameditate hapa kwenye eneo la third eye hua pananiuma nilivyojaribu kulala nikapata hio ya kuvibrate mguu wa kulia kuanzia nyayon na vibration ikapanda kwenye paja nikatoka kwakuhofia naweza kua nafanya astral projection na kuna namna flan nilikua nahisi kama mwili una joto nasisimkwa nikikaa lakini n nn hiyo?
Asante Mkuu Baba Paroko
Hiyo kutaka kufika stage tu ni kikwanzo cha wewe kupata utulivu pia.Ni kama vile wewe uumejaribu lkn hufiki stage ya kwa kushindwa ku concertrate mara kelele au choo cha jirani au mwingine hawezi focus kufikia kuwa in trance, hizo zote ni saving factors, ndio maana haukuwa demonic unaweza kufunzwa saaana na usifike kwa kuwa mind yako haiwi fragile kuwa possesed. Kila moja kwa aina zake
Sawa mkuu,ngoja nijifunze zaidiBro ukiwa na ndalama husikii hizo mambo...majibu yatakuwa "we need to have tolerance in everything" 🤣🤣
Utani tu huu...beba yaliyo mazuri mkuuSawa mkuu,ngoja nijifunze zaidi
Sawa kama unamaanisha tafakari.Kufanya meditation sio jamba la imani au mahubiri kijana , ni jambo la kukaa sehemu ya utulivu tu na kuweka umakini wako sehemu moja ili kutuliza akili, jambo ambalo unaweza kulifanya kwa kujua au bila kujua , ambapo hata wewe kuna mda tu unafanya meditation kiasili tu.
🤔🤔Hahah
Unaotaga vitu gani mkuu
Usikute unapata maono
😄😃😀Hahah
Unaotaga vitu gani mkuu
Usikute u
Ndyo mara nyingne huwa naotaHahah
Unaotaga vitu gani mkuu
Usikute unapata maono.
Kuumia sio rahisi 😁 hiyo ya kutoka nnje ya mwili wala haina maana ya kutoka kama wengi wanavyofikiri, ni mtetemo wa nishati tu katika frequency za juu zaidi , ambayo hata ukielezewa haitakua na maana zaidi ya kupata uzoefu wako wewe mwenyewe .Sawa kama unamaanisha tafakari.
Lakini ukiongelea kuwa nje ya mwili kaa chunguza. Kama unamaanisha tafakari hiyo sawa. Mi sio kijana wala mtoto wa shule🤣🤣. Nashukuru kuwa nawe with good commiication, sorry kama kuna sehemu nilikuumiza sikuwa lengo baya lolote. 🙏🙏🙏
Pes unapata? Au unakuwa pussy magnet 🧲tu?Kuumia sio rahisi 😁 hiyo ya kutoka nnje ya mwili wala haina maana ya kutoka kama wengi wanavyofikiri, ni mtetemo wa nishati tu katika frequency za juu zaidi , ambayo hata ukielezewa haitakua na maana zaidi ya kupata uzoefu wako wewe mwenyewe .