Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kufanya meditation bongo ni kazi mno! ile unafunga macho tu mawazo ya ada ya mtoto, ukijirudi kidogo mara inakuja harufu ya chemba imecheua kwa jirani

Kama unaweza kufanya hivyo upo karibu sana na kuweza ku meditate.

Ule uzingativu unaokua nao mpaka akili inahamia huko ni same applied to Meditation.

Kama hua unafanya hivyo mara kwa mara si ajabu hua kuna muda unajipigisha stori mwenyewe na una enjoy.

Sometime unakuta umethink deep mpaka unajikuta umekamilisha task fulani bila kujua umekamilisha vipi, mfano inaweza kua wakati unatembea mara unashtuka tu umefika home na ulikwepa magari vizuri bila kujijua.

Mda mwingine unapapita hadi kwako unashtuka mbele unaanza kurudi.

Kama unaweza hivi, wewe ni rahisi zaidi kuijua meditation.
Yeah hii nafanya sana yaani napanga kabisa team yangu ya mafanikio ni story kabisa ambayo inanipa furaha kabisa, lakini kuna wakati naona kama sipo sahihi kuwaza hivyo, tatizo nisipo fanya hivyo kuna msukumo wa ndani unanisukuma kila nikijaribu kujiepusha nashindwa kabisa kuacha.
 
Meditation inaurudisha mwili na akili kwenye utulivu wake wa asili ili upate nafasi ya kufikiri na kushughulika na Maisha kwa utulivu wa hali ya juu.

Endelea hivyo hivyo natamani siku1 ufikie uwe kama mimi.
Shida yangu kukunja miguu Mkuu.
 
Yeah hii nafanya sana yaani napanga kabisa team yangu ya mafanikio ni story kabisa ambayo inanipa furaha kabisa, lakini kuna wakati naona kama sipo sahihi kuwaza hivyo, tatizo nisipo fanya hivyo kuna msukumo wa ndani unanisukuma kila nikijaribu kujiepusha nashindwa kabisa kuacha.
Sio jambo baya, Ina faida, Usiache kufanya, Cha msingi weka limitation ya muda maybe ntamanifest kwa nusu saa, ikiisha acha kabisa sababu ukiizoea baadae utakua unaongea pekeyako barabarani.

Lakini kama unaweza kufanya hivyo upo karibu sana na kuweza kumeditate.
 
mimi ni muslim na ili uweze kiswali unatakiwa mawazo yako yawepo kwenye swala usiwaze kingine yan uko unaongea na Mungu wako so hio ni meditation unatuliza akili
Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu kimoja then outcome yake unakua ktk meditative state. Hiyo mifano logic behind ni kufanya mind ifocus kwenye kitu kimoja automatically thoughts zinadisappear. Watu wanafikiri mpaka waone lotus pose ndio wajue ni meditation. Hawajiulizi hata wanavyoambiwa Jesus alikua akienda mlimani (mazingira tulivu) alikua anaenda kufanya nini
 
Jaribu kutumia mmea, huwa unasaidia kuzima kelele na kufungua kichwa
kumbuka Unataka Ku Calm Mind Na Ukitumia Drags Means Utachengana Na Mind Yako.

Hapa utakuwa unayatafuta ya kuyatafuta.
 
Meditation. Ni ushetani.
Mtu kuingia katika trance under unknown spiritual guide. Nikuwa demon posessed.
Kwa namna yule Mhindi ikuwa anatufundisha nilikuja kujua si salama.
Endeleeni yatawakuta
Usiunyime ubongo wako ufahamu, meditation sio ushetani, meditation ni process ya self realization, bringing back the scattered wondering mind, hata mitume walimeditate! Kristo Yesu alipojitenga jangwani kwa siku 40 alikuwa kwenye deep meditation, alichokifanya miaka zaidi ya 2000 iliyopita ndio tunakifanya leo.
 
Ngumu sana
Ni rahisi tu maadam unatakiwa kuidiscipline hiyo mind kwa kubaki na kitu kimoja tu kichwani kwa wakati mmoja, kuwa sasa nakula ugali namega tonge natoweza napeleka mdomoni natafuna nameza hivyo hivyo mpaka unashiba hivyo hivyo kwenye kuoga kuvaa kutembea nk nk usifanye hili huku unawaza lile.

Concentrate na jambo moja tu kwa wakati huo, hiyo ndo meditation,, ukiweza kuconcetrate na namna pumzi inavyoingia kwenye mapafu na kutoka , hakika matokeo ya awali utayaona.
 
Hivi kuimba wakati unaoga nayo Iko na maana!?? Mama Mimi nikianza tu kuoga ndio masongi yanakuja
 
tafuteni hela mbuzi nyie.acheni uchawi
"tafuteni hela mbuzi nyie.acheni uchawi"
873c2bf9d65154075353543c85ed0d4f.jpg
 
Back
Top Bottom