hapo kwenye red sijaelewa, wewe unataka mtu wa kumfanyisha kazi au unataka business partner. kama unataka business partner kwa nini basi afanye na kijana wako badala ya wewe mwenyewe?Salaam wakuu,
Napenda nilete wazo langu la kutafuta mtu mmoja ambaye tutasaidiana kufanya
mradi mdogo wa kufyatua matofali. Vitendea kazi vipo vya kutosha kuanzia,
atakayekuwa serious atafanya kazi na kijana wangu. Kwa anayeona hili wazo litalipa
naomba ani PM ili tuweze kuelezena vizuri zaidi.