Kufanya Mradi Mdogo Pamoja

Kufanya Mradi Mdogo Pamoja

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939
Salaam wakuu,

Napenda nilete wazo langu la kutafuta mtu mmoja ambaye tutasaidiana kufanya
mradi mdogo wa kufyatua matofali. Vitendea kazi vipo vya kutosha kuanzia,
atakayekuwa serious atafanya kazi na kijana wangu. Kwa anayeona hili wazo litalipa
naomba ani PM ili tuweze kuelezena vizuri zaidi.
 
je huu mradi unaweza kuzalisha tofali ngapi kwa siku? pia upo tayari kwa partnership ya kutoa asilimia ngapi?
 
upo maeneo gani mwa tanzania?? kama ni dar ni mtaa gani?? tuo maelezo ya kutosha kabla hatujaanza kukupm au unataka tukujazie inbox yako!
 
Salaam wakuu,

Napenda nilete wazo langu la kutafuta mtu mmoja ambaye tutasaidiana kufanya
mradi mdogo wa kufyatua matofali. Vitendea kazi vipo vya kutosha kuanzia,
atakayekuwa serious atafanya kazi na kijana wangu. Kwa anayeona hili wazo litalipa
naomba ani PM ili tuweze kuelezena vizuri zaidi.
hapo kwenye red sijaelewa, wewe unataka mtu wa kumfanyisha kazi au unataka business partner. kama unataka business partner kwa nini basi afanye na kijana wako badala ya wewe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom