Kufanya ngono bila kupata michubuko

Inawezekana sana mkuu tena rahisi tu, nikuacha tu kufanya ngono
 
Hapo ni ishu mkuu!!!

Inawezekana kama wewe una kibamia na umetahiriwa na pale hasa unapokutana na KANDAHAR !

Vipi uligonga Mzigo Ngololo?

WARNING ! siku zote practice ABC in sex

ABSTAIN
BE FAITHFUL
USE CONDOM
 
Mkuu mbona ina wezekana cha muhimu ni kuandaa vizuri kakitu tu then ndio unasopeka dudu polele pole wala usiwe na haraka hapa uta faudu hadi kaushuzi kakutoke!
 
Wakuu nimesikia eti mtu mwenye uume mdogo anakuwa salama zaid kuliko mwenye uume mkubwa pia mwenye uke mkubwa anakuwa salama zaid kuliko mwenye uke mdogo, je hiyo ni kwel???
 
We dogo achana na hayo mambo siku zote zingatia

ABC in Sex
ABC in Sex
ABC in Sex

Maisha Mafupi Lakini Matamu.
 
Kama hujawahi kufanya ni kwa nini usiende kupima na huyo mwenzi wako ili mjue mpo upande gani? We si unaogopa kuchubuana? "Leo kistaarabu zaidi"d.o.d
 
Inawezekana sana mkuu tena rahisi tu, nikuacha tu kufanya ngono

unatatizo kubwa la kuelewa, na bila mwalimu wako alipata shida sana! "Kufanya ngono bila kupata michubuko" hapa msingi wa swali ni kufanya ngono, sasa wewe unapojibu kuacha ngono!! hivi kweli ni kichwa chako kinachofikiri au unatumia makalio kufikiri!?
 

Jibu swali hili. Akivuta sigara anakohoa sana afanye nini? Tutamjua anaetumia makalio kufikiria, jibu kwanza
 
Inawezekana kama wewe una kibamia na umetahiriwa na pale hasa unapokutana na KANDAHAR !

Vipi uligonga Mzigo Ngololo?

WARNING ! siku zote practice ABC in sex

ABSTAIN
BE FAITHFUL
USE CONDOM

Mbona sijakupata mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…