Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Wakuu naomba mnisaidie kama hiki kitu kinawezekana na hivyo wote kuwa salama kwa magonjwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana sana mkuu tena rahisi tu, nikuacha tu kufanya ngono
Inawezekana sana mkuu tena rahisi tu, nikuacha tu kufanya ngono
Hapo katika kuacha hapo, ndo mtihani ulipo.
Mtihani uko wapi?
Hapo ni ishu mkuu!!!
ukitumia mafuta ya KY inawezekana mkuu
Kuacha ngono hata majogoo na mabeberu wamechemsha.
Wakuu naomba mnisaidie kama hiki kitu kinawezekana na hivyo wote kuwa salama kwa magonjwa?
Ulikuwa haujawahi kufanya ngono ndo unataka kuanza? Au?
Inawezekana sana mkuu tena rahisi tu, nikuacha tu kufanya ngono
unatatizo kubwa la kuelewa, na bila mwalimu wako alipata shida sana! "Kufanya ngono bila kupata michubuko" hapa msingi wa swali ni kufanya ngono, sasa wewe unapojibu kuacha ngono!! hivi kweli ni kichwa chako kinachofikiri au unatumia makalio kufikiri!?
Inawezekana kama wewe una kibamia na umetahiriwa na pale hasa unapokutana na KANDAHAR !
Vipi uligonga Mzigo Ngololo?
WARNING ! siku zote practice ABC in sex
ABSTAIN
BE FAITHFUL
USE CONDOM