Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

Yah zipo scrub za mwili mzima,za miguu na za uso!

Labda afanye wife....otherwise balaa

oopsbodyscrub.jpg
 
Yes BM kweli warefu ila kuna classes pale ukiingia VIP ndio lazima utakamuliwa, ila ikitokea siku uko vizuri kiuchumi, lipia huduma inaitwa sikumbuki nini nini ila mwisho inaishia na neno "De Capicin" inalipiwa TZS 250,000 ila you won't regrate!.
Pasco

tsh ngapi?????????
 
Mmh, mitego, nikiingia ziwani, nikitoka samaki wamenata kwenye ngozi, ni zaidi ya kokoro

Afu unyayoni ndimo natunzia coins maana kuna mipasuko kama caves.

[/B][/COLOR]
ndio nini mkuu, magamba?
 
bado mtoto, ukikua ndio nitakuaminia

Awaulize wanaume wa kitanga wanafanyiwa hii kitu kwa mti wa asili mfano liwa...msio..manjano nk. Nikitu na box wanapendeza naturally..hasa wakati wa kuowa . Uliza ni rahaa
 
Awaulize wanaume wa kitanga wanafanyiwa hii kitu kwa mti wa asili mfano liwa...msio..manjano nk. Nikitu na box wanapendeza naturally..hasa wakati wa kuowa . Uliza ni rahaa

hiyo nitaitafuta
 
Back
Top Bottom