molely molly
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 317
- 30
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?
Nisawa na kuangalia muvi ya action, wakati unapgana
Nisawa na kuangalia muvi ya action, wakati unapgana
utapata ugonjwa uitwao hippopotamus
Lkn mbona Guest nyingi wameweka Mikanda hiyo???
wana JF naomba kuuliza kuna athari gani a kisaikolojia inapatikana kwa kufanya tendo la ndoa huku unaangalia movie za X?
Experience inamhusu jamaa....Umejuaje?
Lkn mbona Guest nyingi wameweka Mikanda hiyo???
Athari nyingine ni mpenzi wako kushindwa kuridhika pale anapogundua kwamba kinanii chako ni kidogo kuliko cha yule jamaa kule kwenye movie na kuhisi kama anakosa uhondo na badala yake kuanza kutafuta waliojaaaliwa.